Tuzo anazoshinda muigizaji Monalisa mbona hazishangiliwi?

Tuzo anazoshinda muigizaji Monalisa mbona hazishangiliwi?

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Wakuu,

Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi.

Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu..

Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi anazofanya huyu msanii?

Au tuzo zake ni uchwara?

Wanaojua juu ya tuzo anazogombania huko nje ya nchi huyu Monalisa mtujuze.



 
Hata Singo Mtabalike alipopata yake alifunga mtaa pale uwanja wa ndege Dar! Ila Je. tuzo hiyo inatambulika na wizara husika na wizara ilishirikishwa katika maandalizi ya mshindania tuzo? Tujue hayo kabla ya kuilaumu serikali.
 
Back
Top Bottom