Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Wakuu,
Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi.
Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu..
Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi anazofanya huyu msanii?
Au tuzo zake ni uchwara?
Wanaojua juu ya tuzo anazogombania huko nje ya nchi huyu Monalisa mtujuze.