Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Ricky darling mbona hatujapeana hizi taarifa?
Sorry bby...
Niliona yule mama kakuganda ukamwombee msamaha kwa mumewe nkaona nikuache....
Ila tumefanikiwa kuwa washindi kwa kuwa na lugha nzuri isiyo na hata chembe ya tusi....
Hongera pia maana tumeshinda km familia
 
Hureeeeeeeeeeee
Dah hata siamini aiseeee
Thanks sanaaaaaa kamanda kwa kutambua haki za wanajamii....
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana jamii wote mlionipigia ndogo ndogo hadi kuibuka kinara wa hili....
Naandaa hafla maalumu ya kusherehekea tuzo hii ya heshma....

Hivi husninyo amewahi kutukana? Hapana.
Husny najua hujawahi kutukana so huko peke yako ila imebidi na baadhi ya vigezo kuzingatiwa...
 
Sorry bby...
Niliona yule mama kakuganda ukamwombee msamaha kwa mumewe nkaona nikuache....
Ila tumefanikiwa kuwa washindi kwa kuwa na lugha nzuri isiyo na hata chembe ya tusi....
Hongera pia maana tumeshinda km familia

This calls for a celebration hun!!! Hongera sana ricky dear..
 
umeshnda wapi?
 
Mtoa mada nauliza incase mimi niwe sijawahi tukana mtu bali nilijitukana mie mwenyewe!
Na nilikwishajiomba radhi.
Je ? Ntakua na sifa ya kuwepo kinyang'anyironi?
 
This calls for a celebration hun!!! Hongera sana ricky dear..
Thank mylove....
Ukiona niko kimya usishangae....
Ni mambo ya ushindi kotekote.....Arumeru na JF...
Usijali naogija wamtangaze jamaa yetu kuwa mshindi tukasherehekee wote....
 
Mtoa mada nauliza incase mimi niwe sijawahi tukana mtu bali nilijitukana mie mwenyewe!
Na nilikwishajiomba radhi.
Je ? Ntakua na sifa ya kuwepo kinyang'anyironi?
JG ushachelewa kinyang'anyiro kimefikia kikomo so Erickb52 ndo bingwa..au hujaotia thread kuona yaliyojiri?
 
Mi nahitaji kujua vigezo vilivyotumika!

Haiwezekani nikatupwa mbali kiasi hicho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…