Asante Ng`wanakidiku kwa kuona ustaarabu wanguErickb52
tabia haina dawaMpaka ubadili tabia!
Hapa ushaikosa zawadi, 'huna maana' kikwetu ni tusi.Huna maana kabisa wewe huwezi kurelate avatar ya wapendwa wangu na ulichoandika...
asante Kaizer.
Ukinionea babu ODM na felo tablet
waambie nawasubiri hapa tuje tuchafue asiyetukana.
Hujambo SL? Wale ndugu zako wa vietnam wazima?Hapa ushaikosa zawadi, 'huna maana' kikwetu ni tusi.
Asante SLErickb52
Sijambo bht! Ndugu zangu hawajambo kabisa,Hujambo SL? Wale ndugu zako wa vietnam wazima?
Usitukane wala usisikie matusi ...asema bwana mola wako
nafurahi kusikia hivyo...Sijambo bht! Ndugu zangu hawajambo kabisa,
hehehe situkani wala sisikii kamwe!
tabia haina dawa
Asante Mamdenyi kwa kuniona
Hahahaaa nimeiga SISIEMU..Halafu wewe, nitakuripoti takukuru, si bure
ati........
We binti upo?Mie naomba niji-nominate. Sijawahi kupigwa ban wala kutukana, ila huwa mchokozi mara chache tu lol!
Hahahaaa nimeiga SISIEMU..
Kuchakachua
Hahahaaa ni Sweetlady...naona, naomba niazime kampeni meneja wako......
We binti upo?
Ngoja hii tuzo iwe yako maana inakufaa
Mie naomba niji-nominate. Sijawahi kupigwa ban wala kutukana, ila huwa mchokozi mara chache tu lol!