princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
sawa umesikikanmewagundua team kiba wanang'ang'ania Tuzo
ili tu washindane na diamond
[emoji23][emoji23] diamond anawanyima usingizi sana team kiba
hamuwazi vitu vya msingi ila tu kushindana na diamond
mpka diamond afanye kitu ndo nanyinyi mfanye...
yani mnatabia za wakd wenza sana.
Hahahha, lazma umuote usiku tu KibaHii kauli ndio inanifanya kumshangaa Kibra kwa nn analilia Tuzo!he should walk on his statement
Hovyo sana
Hahahaha, Ali Kiba atakutoa vidonda vya tumboIvi alikiba alipewa ile bill 1 ya tecno kule Dubai.
Ivi kashaamia kwenye mjengo wake(hekalu).
Ivi kapata hela ya kununua tuzo kama diamond. poor kiba
mara ya ngapi unaniuliza hili swaliKiba alikufanyaga nini?
Simchukii kibra hata kidogo km unafikiria hvyo!tena napenda na kusikiliza baadhi ya nyimbo zakeHahahha, lazma umuote usiku tu Kiba
Kwa kipHahahaha, Ali Kiba atakutoa vidonda vya tumbo
Ushindi wa mezani,na waandaji wamefeli hawana tofauti na Miss TanzaniaMTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid.
Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba ndio anaongoza kwa kupigiwa kura na hapo watu wakaanza kuuliza kwa nguvu imekuaje? hata hivyo kulionekana mabadiliko baadae kwa rekodi hizo kutoonekana mtandaoni baada ya muda kupita.
Taarifa za uhakika kutoka kwenye Management ya Alikiba ni kwamba wametumiwa taarifa na MTV EMA kwamba kuna kosa lilitokea lakini wamerekebisha na kumfikishia taarifa Wizkid kwamba tuzo haikuwa yake hivyo itachukuliwa na kupewa Alikiba.
================
MY TAKE: Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
eboooo sasa hapo mwenye makosa na anaepaswa kulaumiwa ni Mtv au Ali?Aisee! Nilihisi hiki kitu toka mwanzo kwamba kuna uwezekano Wizz ameamua kususa na kurudisha hizi tuzo baada ya kuchoshwa na matusi na kusakamwa na watu wa kiba.. Maana ilikuwa ngumu kwangu kuamini MTV wanaweza kufanya kitu unprofessional kiasi hiki kumpokonya mtu tuzo wampe mwingine..
Sasa menejimenti ya kiba wanasikia raha gani kupewa tuzo iliyosuswa?? And wanatengeneza image gani barani Afrika??
Hii ni aibu, sijawahi kushuhudia upuuzi wa kiasi hiki kwenye industry ya mziki Afrika..
Sasa kosa la Ali hapo liko wapi?Aisee hata kama kiba alistahili ile ni too much! Yale matusi ya fans wake kule kwenye page ya wizkid aisee!
Nafikiri kiba angetumia busara flani kuliko hivyo........
Kweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.Simchukii kibra hata kidogo km unafikiria hvyo!tena napenda na kusikiliza baadhi ya nyimbo zake
Ila naona kick zimemzidi .... hadhi yake sio kufundishwa cha kufanya na mdogo wake
Mbona unamung'ang'anizia mwenzako kitu ambacho hana mtu akijaribu kutoa ushauri anamchukia waja wana mambo sanaKweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.
Wa kwetu wote hawa jamani.Kweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.
Hawa wasanii wawili wote ni watanzania wakienda nje wanawakilisha tanzania.sijawahi ona wanafiki na roho mbaya km wabongo chaaaa....
Wapi nimemng'ang'aniza!! Au we ndio unataka kumng'ang'aniza!!Mbona unamung'ang'anizia mwenzako kitu ambacho hana mtu akijaribu kutoa ushauri anamchukia waja wana mambo sana
Jina sio issue, mi jina langu halisi watu wanaonifaham walivyolipindisha na wanavyoniita ingekuwa ww inaonekana ungekuwa unagombana nao kila sikuKweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.
Kibra kapewa tuzo[emoji28][emoji28]???Jina sio issue, mi jina langu halisi watu wanaonifaham walivyolipindisha na wanavyoniita ingekuwa ww inaonekana ungekuwa unagombana nao kila siku
Nimeandika in a positive way,mbona Juma Nature anatumia hyo hyo Kibra km aka yake