Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

nmewagundua team kiba wanang'ang'ania Tuzo
ili tu washindane na diamond
[emoji23][emoji23] diamond anawanyima usingizi sana team kiba
hamuwazi vitu vya msingi ila tu kushindana na diamond
mpka diamond afanye kitu ndo nanyinyi mfanye...
yani mnatabia za wakd wenza sana.
 
sawa umesikika
 
Hahahha, lazma umuote usiku tu Kiba
Simchukii kibra hata kidogo km unafikiria hvyo!tena napenda na kusikiliza baadhi ya nyimbo zake
Ila naona kick zimemzidi .... hadhi yake sio kufundishwa cha kufanya na mdogo wake
 
MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid.

Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba ndio anaongoza kwa kupigiwa kura na hapo watu wakaanza kuuliza kwa nguvu imekuaje? hata hivyo kulionekana mabadiliko baadae kwa rekodi hizo kutoonekana mtandaoni baada ya muda kupita.

Taarifa za uhakika kutoka kwenye Management ya Alikiba ni kwamba wametumiwa taarifa na MTV EMA kwamba kuna kosa lilitokea lakini wamerekebisha na kumfikishia taarifa Wizkid kwamba tuzo haikuwa yake hivyo itachukuliwa na kupewa Alikiba.

================
MY TAKE: Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Ushindi wa mezani,na waandaji wamefeli hawana tofauti na Miss Tanzania
 
Aisee! Nilihisi hiki kitu toka mwanzo kwamba kuna uwezekano Wizz ameamua kususa na kurudisha hizi tuzo baada ya kuchoshwa na matusi na kusakamwa na watu wa kiba.. Maana ilikuwa ngumu kwangu kuamini MTV wanaweza kufanya kitu unprofessional kiasi hiki kumpokonya mtu tuzo wampe mwingine..

Sasa menejimenti ya kiba wanasikia raha gani kupewa tuzo iliyosuswa?? And wanatengeneza image gani barani Afrika??
Hii ni aibu, sijawahi kushuhudia upuuzi wa kiasi hiki kwenye industry ya mziki Afrika..
eboooo sasa hapo mwenye makosa na anaepaswa kulaumiwa ni Mtv au Ali?

Maana Mtv ndio walimpa tuzo Wizkid na hao hao ndio wanaoichukua na kumpa Ali.

Nilidhani labda utawalaumu Mtv na kuwaambia next time wawe Makini mambo kama haya yasije kutokea.
 
Aisee hata kama kiba alistahili ile ni too much! Yale matusi ya fans wake kule kwenye page ya wizkid aisee!
Nafikiri kiba angetumia busara flani kuliko hivyo........
Sasa kosa la Ali hapo liko wapi?

Au ulimuona Ali nae akitukana?
 
Simchukii kibra hata kidogo km unafikiria hvyo!tena napenda na kusikiliza baadhi ya nyimbo zake
Ila naona kick zimemzidi .... hadhi yake sio kufundishwa cha kufanya na mdogo wake
Kweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.
 
Kweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.
Mbona unamung'ang'anizia mwenzako kitu ambacho hana mtu akijaribu kutoa ushauri anamchukia waja wana mambo sana
 
Mbona unamung'ang'anizia mwenzako kitu ambacho hana mtu akijaribu kutoa ushauri anamchukia waja wana mambo sana
Wapi nimemng'ang'aniza!! Au we ndio unataka kumng'ang'aniza!!
 
Kweli humchukii, maana hata jina lake ulivyoandika inaonyesha ni jinsi gani humchukii.
Jina sio issue, mi jina langu halisi watu wanaonifaham walivyolipindisha na wanavyoniita ingekuwa ww inaonekana ungekuwa unagombana nao kila siku
Nimeandika in a positive way,mbona Juma Nature anatumia hyo hyo Kibra km aka yake
 
Kibra kapewa tuzo[emoji28][emoji28]???
In positive way............
 
Back
Top Bottom