Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Mwenyewe bana,na wewe akili ndefu kama lile domo la diamond linavyoburuzikaga km pepe DCM
 
Iyo tuzo akipewa kiba !!!!!!!!kwanza Mshawai kusikia wapi
 
Alafu baadaye mkinyimwa collabo mtasema diamond platnumz kawabania, mmetukana ww mpaka mwenyewe kamaindi hii post imetumwa masaa kumi yaliyopita, tubadilike sometime unaweza ukaamini unajenga kumbe unabomoa
 
Ni msanii wa bongoflavor,,Ali saleh kiba,,katika maisha yako hujapata tuu bahati ya kumjua,hajawahi hata kuwa na kigezo chochote cha ku be nominated kwenye tuzo yoyote kubwa labda eatvawards!
Kwa hiyo kutokumfahamu siyo kosa. Karibu,,
mmoja kati ya wale wanne
 
Ni msanii wa bongoflavor,,Ali saleh kiba,,katika maisha yako hujapata tuu bahati ya kumjua,hajawahi hata kuwa na kigezo chochote cha ku be nominated kwenye tuzo yoyote kubwa labda eatvawards!
Kwa hiyo kutokumfahamu siyo kosa. Karibu,,
Hellow hater
 
Ushindi ni ushindi tu hana haja ya kujitafakar zaidi ya kusonga mbele mashabiki wake tupo nyuma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi mwakani tusipige kura
kama ni kweli tuzo za MTVMAMA ndo zinaanza kuwa hazina thamani hivi...
Tupo tutakaopiga. U just relax honey! [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…