Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nieke akiba ya maneno.... Wazee wa kugombania tuzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli utasimama daimA
 
Hahhaa kwani nani aliwakataza msiwe happy na tuzo zenu za nigeria?? Acha tuwe vichaa bana we looooov him
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]poor u, sio kwa furaha hyo...mwenzio wa madale anachumba cha mituzo..sas hyo tuzo moja tu ndio mbwembwe zote hzoo[emoji28][emoji28][emoji28]
btw hongera yake angalau aanze kuzoea kdg
Oohhh pachungu leo
 
wabongo bhana sisi eti katuzo kenyewe kamoja, mara analinganishwa na chibu, chibu anaingiaje wakati habari ni ya kiba na wiz, btw umekubali kama kiba kachukua au?
 
Kwasababu wizkid kafuta post ya tuzo ndo kigezo cha kuamin watarudishiwa?? Watachelewa coz wiz mbona kafuta hata zile tuzo mbili alizopewa SA
Acha roho mbaya kwa Mtanzania mwenzako.....huu ni ushindi wa kwetu wote japo wewe ulimpigia kura Wizkid ila kura zetu hazikutosha
 
Sasa ule mkwanja wa tuzo Wiz atarudsha? Au ndio yale mambo ya wakuu wa mikoa na mwenge.

BTW hawa jamaa wanaondaa tuzo wamejidhalilisha sana na wamemuumiza sana Wizkid kwenye hili.
Nitafurahi Kiba akiikataa ili kutunza heshima yake pia.
 
Haiwez tokea mtu kupokonywa tunzo iyo ni danganya toto tu....hifazi maneno yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…