unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Ukweli utasimama daimA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nieke akiba ya maneno.... Wazee wa kugombania tuzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli utasimama daimA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nieke akiba ya maneno.... Wazee wa kugombania tuzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhaa kwani nani aliwakataza msiwe happy na tuzo zenu za nigeria?? Acha tuwe vichaa bana we looooov himYaan team kiba sijui mna matatizo gani tena nahisi kwny tathmin ya 2/10 ni vichaa nahisi walimaanisha team kiba
Yan katuzo kamoja watu hatupumui
By the way juzi Diamond kachukua tuzo 3 kiroho safi Team diamond wametulia wala hawakuw na papala sas katuzo kamoja hako tena ka kubembeleza kwa MTV EMA ndo wanaanzisha uzi kelele kibao
Cjui Team kiba mlikula maharage ya wapi................
#akili_fupi_kama_kipensi_cha_kiba kile cha fiesta
No body mess with the King Kiba. HehehehehWhy Diamond and sio Shilole na wengine wengi?
Oohhh pachungu leo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]poor u, sio kwa furaha hyo...mwenzio wa madale anachumba cha mituzo..sas hyo tuzo moja tu ndio mbwembwe zote hzoo[emoji28][emoji28][emoji28]
btw hongera yake angalau aanze kuzoea kdg
wabongo bhana sisi eti katuzo kenyewe kamoja, mara analinganishwa na chibu, chibu anaingiaje wakati habari ni ya kiba na wiz, btw umekubali kama kiba kachukua au?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]poor u, sio kwa furaha hyo...mwenzio wa madale anachumba cha mituzo..sas hyo tuzo moja tu ndio mbwembwe zote hzoo[emoji28][emoji28][emoji28]
btw hongera yake angalau aanze kuzoea kdg
Hatutegemei kuvuma kwa kolabo za wanigeria kama king wenu.View attachment 431865 Alafu baadaye mkinyimwa collabo mtasema diamond platnumz kawabania, mmetukana ww mpaka mwenyewe kamaindi hii post imetumwa masaa kumi yaliyopita, tubadilike sometime unaweza ukaamini unajenga kumbe unabomoa
ninyi mlivyotukana kwa davido nani aliwabania collabo?View attachment 431865 Alafu baadaye mkinyimwa collabo mtasema diamond platnumz kawabania, mmetukana ww mpaka mwenyewe kamaindi hii post imetumwa masaa kumi yaliyopita, tubadilike sometime unaweza ukaamini unajenga kumbe unabomoa
Halafu wanajisahaulisha eti...ninyi mlivyotukana kwa davido nani aliwabania collabo?
wajinga wajinga hao hawana fact wanakomenti kwa mihemkoHalafu wanajisahaulisha eti...
hatupati tuzo hadi tulilieKama mtanzania naona furaha kwa hii tuzo kwenda kwa the only king in Tzzz
teh! mwanzo mlisema hana uwezo wa kuipata.. now kuku kapanda baiskeli.. next time itakuwa bata kavaa raizonNaona leo kuku kapanda baiskel
Povu vipiteh! mwanzo mlisema hana uwezo wa kuipata.. now kuku kapanda baiskeli.. next time itakuwa bata kavaa raizon
Acha roho mbaya kwa Mtanzania mwenzako.....huu ni ushindi wa kwetu wote japo wewe ulimpigia kura Wizkid ila kura zetu hazikutoshaKwasababu wizkid kafuta post ya tuzo ndo kigezo cha kuamin watarudishiwa?? Watachelewa coz wiz mbona kafuta hata zile tuzo mbili alizopewa SA
teh! sikutegemea jibu zaidi ya hiliPovu vipi
Haiwez tokea mtu kupokonywa tunzo iyo ni danganya toto tu....hifazi maneno yanguSasa ule mkwanja wa tuzo Wiz atarudsha? Au ndio yale mambo ya wakuu wa mikoa na mwenge.
BTW hawa jamaa wanaondaa tuzo wamejidhalilisha sana na wamemuumiza sana Wizkid kwenye hili.
Nitafurahi Kiba akiikataa ili kutunza heshima yake pia.
Nimeona kwa Millard, huenda ikawa kweli mkuu.Haiwez tokea mtu kupokonywa tunzo iyo ni danganya toto tu....hifazi maneno yangu