Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Hahahaha,,naona nia ovu uliyo Nayo,, fanya hivi,,
Ushauri unaotaka uleta uanzishie thread nyingine
Isiwe tabu!!! Fanya Kama kumshauri!!!
Naona unaniwinda kila kona....hahah..sio nia ovu..mimi naamini Greatness awaits Kiba..hapa ndani amemaliza hakuna ubishi afungue mabawa apae kuelekea international...ni hayo tu..
 
Kuna kila ishara ya michezo ya nyuma ya pazia ndio maana Kiba anakuwa mtu wa emotion mara nyingi na analalamika kuhujumiwa Ila jamii haimuelewi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi mwakani tusipige kura
kama ni kweli tuzo za MTVMAMA ndo zinaanza kuwa hazina thamani hivi...
kweli kabisa mkuu hawa mashabiki wa kiba wanatutilia aibu kwenda kulament kwenye page za watu ugenini huko!
 
Wako wapi waliomtukana Kiba?
Nyuso zenu mtazificha wapi?
Tena ngoja nikausake uzi,mmezidi sasa.
Hivi hiyo habari umethibitisha kama kweli? usiombe ikawa ya uongo!!
 
Back
Top Bottom