Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
No one will give your freedom for free...Kama kweli huu ni udhaliliahaji kwa msanii wetu, kweli mpaka ang'ang'anie ndio apewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No one will give your freedom for free...Kama kweli huu ni udhaliliahaji kwa msanii wetu, kweli mpaka ang'ang'anie ndio apewe!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mzaramo nakupendaga sana.Yohoooooooooooooooooooooooo....Waambie dada zao wa Madale tuzo ipo Kariakoo
Sure [emoji108]No one will give your freedom for free...
Naona unaniwinda kila kona....hahah..sio nia ovu..mimi naamini Greatness awaits Kiba..hapa ndani amemaliza hakuna ubishi afungue mabawa apae kuelekea international...ni hayo tu..Hahahaha,,naona nia ovu uliyo Nayo,, fanya hivi,,
Ushauri unaotaka uleta uanzishie thread nyingine
Isiwe tabu!!! Fanya Kama kumshauri!!!
Tulia wewe,naona bado unamfikiria Hayanga,sio kwa alichowafanya leo [emoji12]MSIMAMIZI WA HIZI TUZO ATAKUWA NI YULE ALIYESIMAMIA KULE ZENJI
Unafurahi tuzo ya best african act mwenzanu ana wolrd actWako wapi waliomtukana Kiba?
Nyuso zenu mtazificha wapi?
Tena ngoja nikausake uzi,mmezidi sasa.
Nasubiria haters =!!!!!,cocochanel upo????
kweli kabisa mkuu hawa mashabiki wa kiba wanatutilia aibu kwenda kulament kwenye page za watu ugenini huko![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi mwakani tusipige kura
kama ni kweli tuzo za MTVMAMA ndo zinaanza kuwa hazina thamani hivi...
Hivi hiyo habari umethibitisha kama kweli? usiombe ikawa ya uongo!!Wako wapi waliomtukana Kiba?
Nyuso zenu mtazificha wapi?
Tena ngoja nikausake uzi,mmezidi sasa.