Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

Aliyekuzaa ana hasara wallah
 
....Soko...mzee Kibao wengine....wanabubujikwa na mavhozi ya damu.....usisahau hilo...labda tuzp yenye damu za wasio hatia.....
 
Mkuu hivi ni lini utaamuwa kuwa na akili zako kamili wewe kama wewe maana vitu unavyo andika vinakuonesha hutumii akili zako
 
Mama ni Rais wa Tanzania na siyo Congo. Jukumu kuu la ulinzi wa Congo lipo mikononi na linapswa kufanywa na kutekelezwa na wacongo wenyewe Kabla ya sisi kwenda kuwasaidia .
Kwajibu hili hulewi nini maana ya Tuzo ya Nobeli mdogo wangu.

Kwa ufupi,

Tuzo ya Nobel ya Amani hutolewa kwa watu au vikundi vinavyofanya kazi kwa ajili ya kudumisha amani duniani. Wanasiasa wengi wamepokea tuzo hii kwa mchango wao katika kutatua migogoro, kukuza haki za binadamu, na kufanya mazoea ya amani. Baadhi ya wanasiasa mashuhuri walioipokea ni pamoja na:

1. Barack Obama (2009) - Rais wa 44 wa Marekani, alipokea tuzo hii kwa juhudi zake za kuimarisha diplomasia ya kimataifa na kushirikiana kwa amani.

2. Nelson Mandela (1993) - Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi, alipokea tuzo hii pamoja na F.W. de Klerk kwa mchango wao katika kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.

3. Yasser Arafat (1994) - Mwenyekiti wa shirika la PLO, alipokea tuzo hii pamoja na Yitzhak Rabin na Shimon Peres kwa juhudi zao za kufanikisha mazoea ya amani kati ya Palestina na Israel.

4. Malala Yousafzai (2014) - Mwanaharakati wa haki za elimu kwa wasichana na mwanasiasa wa Pakistan, alipokea tuzo hii pamoja na Kailash Satyarthi kwa mapambano yao dhidi ya ukatili wa watoto na kwa haki ya kila mtoto kupata elimu.

Tuzo ya Nobel ya Amani inaweza kutolewa kwa wanasiasa, wanaharakati, au vikundi vinavyofanya kazi kwa ajili ya amani na haki za binadamu.
 
HIVI TANZANIA NDO NCHI YA KWANZA DUNIAN KUTUMIA GESI?

KWA KWELI WATANZANIA WENGI NI EMPTY MINDED JADUS!

ENDELEA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI!
 
HIVI TANZANIA NDO NCHI YA KWANZA DUNIAN KUTUMIA GESI?

KWA KWELI WATANZANIA WENGI NI EMPTY MINDED JADUS!

ENDELEA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI!
Unaelewa kampeni ya RAIS Samia ina lenga nini? Waafrika wangapi wanatumia nishati safi katika kupikia?
 
Unamfahamu yule mama wa Kenya aliyekuwa anapigania masuala ya mazingira?
 
Hata Nyerere hakupata Wala Kaunda. Sidhani.
Si kunanile ya Mo Ibrahim. Hivi bado ipo ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…