Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Chuki zako binafsi ndizo zinakupotezaHujiulizi kwanini kila mtu anakuona kuwa hauko timamu? Ngoja nitumie lugha nyepesi tu kuwa kijana unapotea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki zako binafsi ndizo zinakupotezaHujiulizi kwanini kila mtu anakuona kuwa hauko timamu? Ngoja nitumie lugha nyepesi tu kuwa kijana unapotea.
Mimi nikuchukie wewe kwani nakufahamu? Ila mabandiko yako yamejaa ujinga. Ndiyo maana unaona kula mchangiaji anakuona kama hauko sawaChuki zako binafsi ndizo zinakupoteza
Hiyo ni kwa mtizamo wakoMimi nikuchukie wewe kwani nakufahamu? Ila mabandiko yako yamejaa ujinga. Ndiyo maana unaona kula mchangiaji anakuona kama hauko sawa
Kaza Makalio mji mkubwa huu.Ndugu zako wanafahamu kuwa wewe ni mgonjwa?
Aliyekuzaa ana hasara wallahNdugu zangu Watanzania,
Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote.
Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake ambao wamejikuta wakiathirika kiafya kutokana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa katika kupikia.Ndio Sauti pekee inayosikika na kusikilizwa juu ya nishati safi ya kupikia,ndio Sauti ambayo inaendelea kusikika masikioni kwa Mataifa tajiri na masikini,ndio mtetezi wa mwanamke na mtoto wa kike Duniani Kwote.
Rais wetu kipenzi anataka iwe mwisho wa machozi ya wanawake na mtoto wa kike kutokana na matumizi ya nishati hiyo hatarishi ya kuni na mkaa kupikia. Rais Samia Ameibuka na kuinuka kama nyota ya matumaini katikati ya giza kuwafuta machozi na kuwakomboa wanawake .
Kwa njia hiyo Rais Samia amefanya kazi ya kupiga ndege wawili kwa jiwe moja kishujaa na kihodari sana. Kwanza kwa kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kama vile gas, umeme n.k. maana yake anafanya kazi ya kuokoa mazingira yetu .kwa sababu kila mwaka maelfu kwa maelfu hadi mamilioni ya miti yamekuwa yakikatwa na kuteketezwa kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa. Hali ambayo imekuwa ikiacha jangwa Maeneo mbalimbali Duniani kwote hususani katika Nchi zinazoendelea.
hali ambayo kwa kiasi kikubwa imepelekea na kuchochea mabadiliko ya hali ya hewa maeneo mbalimbali Duniani kwote.kama vile ongezeko la joto kali pamoja na ukame mkali ambao umesababisha madhara mbalimbali kama vile kufa kwa wanyama,kukauka kwa mimea na hivyo kutokea kwa njaa,kukauka na kupungua kwa vyanzo vya maji na hivyo kuleta athari za upungufu wa umeme kwa wale wanaotegea maji kama chanzo kikuu cha uzalishaji umeme.
Lakini pia hali hiyo imekuwa ikigharimu serikali zote pesa nyingi sana katika kukabiliana na athari hizo. Pesa ambazo zingeweza kutumika katika shughuli nyinginezo za maendeleo kama vile ujenzi wa shule, zahanati,vituo vya afya, miundombinu ya barabara, usambazaji wa Maji na umeme kwa bei nafuu na mengine mengi.
Lakini vilevile kampeni ya Rais Samia inaokoa Maisha ya Mwanamke na mtoto wa kike kutokana na matumizi ya kuni na mkaa kupikia. pia inainua uchumi wa mwanamke kwa kutumia muda wake katika shughuli za kiuchumi badala ya kusafiri umbali mrefu kwenda porini kutafuta kuni.
jambo ambalo wakati mwingine limeleta madhara kama vile watoto wa kike kubakwa maporini,kuumwa na nyoka ,kuumwa na kuvamiwa na wanayama wakali wa msituni pamoja na kuumia kwa kudondoka kwenye miti au kuchomwa na vitu kama vile miiba,miti na ajali mbalimbali za porini.
Kuibuka kwa Rais Samia na kampeni hii ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kunamfanya Mama kuwa nuru na tumaini kwa wanawake na watoto wa kike ulimwenguni kwote. Jambo hilo la kuokoa Maisha ya mamilioni ya wanawake na watoto wa kike ulimwenguni pamoja na kuokoa mazingira kunamfanya Rais Samia kuwa na Nafasi kubwa ya kutwaa tuzo ya Nobel.
Sioni kinachoweza kumzuia kubeba tuzo hiyo ya heshima kabisa Duniani Kwote. Mama anastahili kabisa bila kipingamizi kupata heshima hiyo. Naamini waandaaji wa tuzo hiyo mpaka muda huu watakuwa wameshaona mchango chanya wa Mama na kusubiri wakati ufike tu ili waweze kumpatia Mama yetu Mpendwa na shujaa wa Afrika.View attachment 3236800View attachment 3236802View attachment 3236804View attachment 3236805
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
....Soko...mzee Kibao wengine....wanabubujikwa na mavhozi ya damu.....usisahau hilo...labda tuzp yenye damu za wasio hatia.....Ndugu zangu Watanzania,

Sawa nashukuruAliyekuzaa ana hasara wallah
Kila siku namwambia akomae vibarua watamparua na kumpumuliaaa.....shauri yakeeeeKaza Makalio mji mkubwa huu.
Kwajibu hili hulewi nini maana ya Tuzo ya Nobeli mdogo wangu.Mama ni Rais wa Tanzania na siyo Congo. Jukumu kuu la ulinzi wa Congo lipo mikononi na linapswa kufanywa na kutekelezwa na wacongo wenyewe Kabla ya sisi kwenda kuwasaidia .
Nadhan anaona unamuharibia.Kila siku namwambia akomae vibarua watamparua na kumpumuliaaa.....shauri yakeeee
Siyo mtazamo wangu, ni mtazamo wa kila member humu. Ndiyo maana hata 2mbili ulimkwaza ulipojifanya chawa wakeHiyo ni kwa mtizamo wako
Unaelewa kampeni ya RAIS Samia ina lenga nini? Waafrika wangapi wanatumia nishati safi katika kupikia?HIVI TANZANIA NDO NCHI YA KWANZA DUNIAN KUTUMIA GESI?
KWA KWELI WATANZANIA WENGI NI EMPTY MINDED JADUS!
ENDELEA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI!
Unamfahamu yule mama wa Kenya aliyekuwa anapigania masuala ya mazingira?Kwajibu hili hulewi nini maana ya Tuzo ya Nobeli mdogo wangu.
Kwa ufupi,
Tuzo ya Nobel ya Amani hutolewa kwa watu au vikundi vinavyofanya kazi kwa ajili ya kudumisha amani duniani. Wanasiasa wengi wamepokea tuzo hii kwa mchango wao katika kutatua migogoro, kukuza haki za binadamu, na kufanya mazoea ya amani. Baadhi ya wanasiasa mashuhuri walioipokea ni pamoja na:
1. Barack Obama (2009) - Rais wa 44 wa Marekani, alipokea tuzo hii kwa juhudi zake za kuimarisha diplomasia ya kimataifa na kushirikiana kwa amani.
2. Nelson Mandela (1993) - Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi, alipokea tuzo hii pamoja na F.W. de Klerk kwa mchango wao katika kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.
3. Yasser Arafat (1994) - Mwenyekiti wa shirika la PLO, alipokea tuzo hii pamoja na Yitzhak Rabin na Shimon Peres kwa juhudi zao za kufanikisha mazoea ya amani kati ya Palestina na Israel.
4. Malala Yousafzai (2014) - Mwanaharakati wa haki za elimu kwa wasichana na mwanasiasa wa Pakistan, alipokea tuzo hii pamoja na Kailash Satyarthi kwa mapambano yao dhidi ya ukatili wa watoto na kwa haki ya kila mtoto kupata elimu.
Tuzo ya Nobel ya Amani inaweza kutolewa kwa wanasiasa, wanaharakati, au vikundi vinavyofanya kazi kwa ajili ya amani na haki za binadamu.
Mimi natumia akili na siyo kukurupukaMkuu hivi ni lini utaamuwa kuwa na akili zako kamili wewe kama wewe maana vitu unavyo andika vinakuonesha hutumii akili zako
😿😿😿Ngoja nijiandae kububujikwa na machozi aisee
Unaelewa kampeni ya RAIS Samia ina lenga nini? Waafrika wangapi wanatumia nishati safi katika kupikia?