Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

Labda tuzo ya Nobel ya yule golikipa wa fountain gate
 
Wewe jamaa ni msanii sana! Hata wewe unastahili hiyo tuzo kwa kuweza kuona yale ambayo watz wenzako kwa mamilioni wameshindwa kuyaona. Hebu fuatilia habari za kijana Maxiwell wa Zimbabwe uone jinsi uvumbuzi na usanifu wake utakavyoweza kubadili maisha ya wazimbabwe, waafrika na duniani kwa ujumla. Halafu jaribu kufanya ucha mbuzi wa ulinganifu (comparative analysis?)
 
Gas ishuke bei kiasi cha wananchi wengi kumudu kununua na kujaza waachane na kuni/mkaa hapo nobel ataipata mapema tu.
 
Gas ishuke bei kiasi cha wananchi wengi kumudu kununua na kujaza waachane na kuni/mkaa hapo nobel ataipata mapema tu.
Mimi nilifikiri Lucas angetuambia hiyo nobel inatarajiwa kwa kuhamasisha matumizi sahihi ya rare minerals ili kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi?Kama ndivyo tusingewaiuzia wakore hizo za kwenye bahari.Au wamarekani kule kageeeraa.
 
Hakuna anayetoa Nobel Prize kwa mtekaji na muuaji
 
J
Jinga wewe na tuzo ya ku.......n.....du lako. Labda apate tuzo ya utapeli na uchuuzi. Jinga kubwa. Wazazi wako waliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mama huyo hapo ,Dunia nzima inaelewa jitihada zake.

Akiitosha mkutano wanaitikia.Atakukbukwa Kwa jambo Hilo kubwa Afrika na Duniani.
 
**** la Mama yako linatoa utoko
 
Gas ishuke bei kiasi cha wananchi wengi kumudu kununua na kujaza waachane na kuni/mkaa hapo nobel ataipata mapema tu.
Hilo limeshaanza tayari na ndio maana unaona Mitaani kunagawiwa mitungi ya gasi iliyojaa kwa bei ya Ruzuku
 
Uwe na subira maana muda unakuja ambapo Dunia nzima itasimama na kufurahia ushindi wa tuzo ya Nobel kwa Rais Samia
 
Wenye akili Timamu wanatambua namna Rais Samia alivyo na maono makubwa pamoja na jicho la Tai la kuona mbali. Ndio maana kama Taifa tunafanya vyema sana kiuchumi.
Mataahira kama wewe ndio hamjui kama kuna watu amewanyima haki yac ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…