Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote.

Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake ambao wamejikuta wakiathirika kiafya kutokana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa katika kupikia.Ndio Sauti pekee inayosikika na kusikilizwa juu ya nishati safi ya kupikia,ndio Sauti ambayo inaendelea kusikika masikioni kwa Mataifa tajiri na masikini,ndio mtetezi wa mwanamke na mtoto wa kike Duniani Kwote.

Rais wetu kipenzi anataka iwe mwisho wa machozi ya wanawake na mtoto wa kike kutokana na matumizi ya nishati hiyo hatarishi ya kuni na mkaa kupikia. Rais Samia Ameibuka na kuinuka kama nyota ya matumaini katikati ya giza kuwafuta machozi na kuwakomboa wanawake .

Kwa njia hiyo Rais Samia amefanya kazi ya kupiga ndege wawili kwa jiwe moja kishujaa na kihodari sana. Kwanza kwa kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kama vile gas, umeme n.k. maana yake anafanya kazi ya kuokoa mazingira yetu .kwa sababu kila mwaka maelfu kwa maelfu hadi mamilioni ya miti yamekuwa yakikatwa na kuteketezwa kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa. Hali ambayo imekuwa ikiacha jangwa Maeneo mbalimbali Duniani kwote hususani katika Nchi zinazoendelea.

hali ambayo kwa kiasi kikubwa imepelekea na kuchochea mabadiliko ya hali ya hewa maeneo mbalimbali Duniani kwote.kama vile ongezeko la joto kali pamoja na ukame mkali ambao umesababisha madhara mbalimbali kama vile kufa kwa wanyama,kukauka kwa mimea na hivyo kutokea kwa njaa,kukauka na kupungua kwa vyanzo vya maji na hivyo kuleta athari za upungufu wa umeme kwa wale wanaotegea maji kama chanzo kikuu cha uzalishaji umeme.

Lakini pia hali hiyo imekuwa ikigharimu serikali zote pesa nyingi sana katika kukabiliana na athari hizo. Pesa ambazo zingeweza kutumika katika shughuli nyinginezo za maendeleo kama vile ujenzi wa shule, zahanati,vituo vya afya, miundombinu ya barabara, usambazaji wa Maji na umeme kwa bei nafuu na mengine mengi.

Lakini vilevile kampeni ya Rais Samia inaokoa Maisha ya Mwanamke na mtoto wa kike kutokana na matumizi ya kuni na mkaa kupikia. pia inainua uchumi wa mwanamke kwa kutumia muda wake katika shughuli za kiuchumi badala ya kusafiri umbali mrefu kwenda porini kutafuta kuni.

jambo ambalo wakati mwingine limeleta madhara kama vile watoto wa kike kubakwa maporini,kuumwa na nyoka ,kuumwa na kuvamiwa na wanayama wakali wa msituni pamoja na kuumia kwa kudondoka kwenye miti au kuchomwa na vitu kama vile miiba,miti na ajali mbalimbali za porini.

Kuibuka kwa Rais Samia na kampeni hii ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kunamfanya Mama kuwa nuru na tumaini kwa wanawake na watoto wa kike ulimwenguni kwote. Jambo hilo la kuokoa Maisha ya mamilioni ya wanawake na watoto wa kike ulimwenguni pamoja na kuokoa mazingira kunamfanya Rais Samia kuwa na Nafasi kubwa ya kutwaa tuzo ya Nobel.

Sioni kinachoweza kumzuia kubeba tuzo hiyo ya heshima kabisa Duniani Kwote. Mama anastahili kabisa bila kipingamizi kupata heshima hiyo. Naamini waandaaji wa tuzo hiyo mpaka muda huu watakuwa wameshaona mchango chanya wa Mama na kusubiri wakati ufike tu ili waweze kumpatia Mama yetu Mpendwa na shujaa wa Afrika.View attachment 3236800View attachment 3236802View attachment 3236804View attachment 3236805

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lakini yeye anakula wali uliopikwa kwa kutumia nishati ya kuni .

Chakula kitamu chenye harufu nzuri kinapikwa kwa nishati ya kuni.

Pilau tamu la sikukuu ya iddi huwezi kulipika kwa Gesi .

Nyama nzuri ya kuchoma huwezi kuichoma kwa gesi .

Unafiki wa Wazungu ndio kimbilio la shetani duniani .

Nishani ya Nobel ni upuuzi mtupu kwenye Ardhi yenye madini na misitu na wanyama pori wa kila aina .

Waarabu wamejenga majumba na viwanja vya ndege katikati ya Hifadhi ya Loliondo na sasa umekua ni mji wanaona wanyama wamepungua wanatoa rushwa ili Wamasai wafukuzwe kwenye ardhi yao kama Banyamulenge kule Kongo .

Amin Amin Amin nakuambia Siku zinakuja ambapo Lucas Mwashambwa utatamamani kuiambia milima ya Udzungwa na Iringa ikuangukie ili uifiche huzuni na aibu yako maana utatamani kuhamia Malawi lakini hautaweza .

Huyu Hezebeli hata iweje muda wake hautazidi 2030. Atarudi nchini kwake .Tutabaki Watanganyika wenyewe na tutawanyoosha walioshiriki kuuza rasilimali zetu na madalali wao . Roho ya JPM inatamani kulipa kisasi kikubwa sana . Mungu aliyemtoa Mkoloni kutotoka Uingereza na Ujerumani kwenye ardhi ya Tanganyika kwa mashairi na vijembe atamtoa na huyo mkoloni kutoka Oman.
Tunauchungu na wivu mkubwa sana na nchi yetu nzuri iliyoimbwa na Mungu kwa ajili ya vizazi vyetu .Na Kila jamii duniani ikapewa ardhi yake na watu wake kwa kazi zao za asili kama kilimo ,ufugaji ,uvuvi,viwanda,biashara wfu,madini ,utalii n.k.
Samia alipata fursa ya kusimamia tu sio kuuza lakini cha ajabu anauza kila kitu haraka haraka kama vile yeye ndiye rais wa Mwisho kuelekea kiyama ya wafu.
Hivi kwa nini auze Bandari shirika la umma bila kushirikisha umma ,yaani hakujifunza makosa aliyofanya Mwinyi na mkapa kwa kuuza mashirika ya umma kwa wazungu.

Bandari ilikua ina hasara gani kwa nchi ?
Lololiondo na Ngorongoro zilikua na hasara gani kwa nchi?

Sasa anapita na Rushwa kwa kina mama na mitungi ya gesi.

Kama ana pesa nyingi kiasi hicho kwa nini hatoi huduma ya matibabu ya figo kwa bei nafuu.?
Kama ana pesa nyingi kiasi cha kugawa kwa wapiga kura wote Kwa nini haongezi mishahara wafanyakazi wa umma ikiwemo walimu ,polisi ,askari wa magerezani ,Migambo , Vijana wa JKT n.k Kwa nini hapunguzi riba kwenye mabenki ya biashara badala yake riba zinaondolewa kimya kimya kwenye madirisha ya benki ya CRDB kwa misingi ya kidini .?

Kama ana pesa nyingi za kutoa rushwa kwa nini asianzishe kiwanda cha mbolea badala yake anatoa Ruzuku ya Mbolea wakati inawezekana kujenga kiwanda na kuuza kwa bei ya soko na wananchi wakafanya biashara bila serikali kutoa pesa kimichongo michongo huku bado wakulima wengi wakitumia madawa ya kuboost mazao toka China . ?
Na Je ,hao hao wanaompa hizo pesa watazirudishaje katika biashara zao. ?
Au ndio ile kwamba kwa sababu akistaafu atarudi zake kwao basi watakao kuja watapambana na hali zao?

Wewe Lucas kwa akili yako kabisa ndani ya nafsi yako na unafiki wako na uchawa wako unaona kwamba hata kama Samia atashinda na mumpe urais wa maisha je,ataiacha CCM itakayoweza kuishi miaka hata mitano mbele katika hali iliyopo.?

Mnajidanganya sana .
Hayo mataasisi ya wazungu tulishayashtukia ni mataasisi yenye uovu na nia ovu nyuma yake ikiwemo masuala ya kupora rasilimali za nchi changa na kupunguza idadi ya watu na ushoga na usagaji . Hatuna habari na hizo nishani za wazungu waovu na uovu wao dhidi ya watu weusi .
 
Mwambie Mama apunguze kodi ya lpg kutoka nje au afute kabisa then gesi ya mtwara ifike mikoa yote ili kila kaya imudu bei ya gesi
Mipango ya serikali ni kuhakikisha kuwa bei ya gas inakuwa ya chini ambayo wananchi wengi watakuwa na uwezo wa kumudu gharama zake na hivyo kuachana na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi wa aina yoyote ile
 
Tukae mkao wa kuletewa Tuzo ya Nobel Hapa Nchini Na Rais wetu Mpendwa katika Historia ya Taifa letu. Kwa hakika Taifa na Bara zima la Afrika litalipuka kwa shangwe na Nderemo kuu.Huku wanawake na watoto wakike wakibubujikwa na machozi ya furaha .halafu sisi tutakuwa tukiwafuta na kusema asante Mungu kwa kutuletea Rais Samia katika Nchi yetu. Na Libarikiwe sana tumbo lililombeba Mama yetu Mpendwa.
Bahati mbaya teuzi zinakupita tu. Vipi, kuna hii ya kusimamia dampo la tabata kama uko tayari ni inbox.
 
Tukae mkao wa kuletewa Tuzo ya Nobel Hapa Nchini Na Rais wetu Mpendwa katika Historia ya Taifa letu. Kwa hakika Taifa na Bara zima la Afrika litalipuka kwa shangwe na Nderemo kuu.Huku wanawake na watoto wakike wakibubujikwa na machozi ya furaha .halafu sisi tutakuwa tukiwafuta na kusema asante Mungu kwa kutuletea Rais Samia katika Nchi yetu. Na Libarikiwe sana tumbo lililombeba Mama yetu Mpendwa.
UNGESEMA:
Tuzo hiyo hutolewa kwa watu wa aina gani?
Pia Rais wetu ameshindanishwa na kina nani?
Pia fafanua maelezo hapa chini tuoanishe na yako.

Nominations​

Nomination forms are sent by the Nobel Committee to about 3,000 individuals, usually in September the year before the prizes are awarded. These individuals are generally prominent academics working in a relevant area. Regarding the Peace Prize, inquiries are also sent to governments, former Peace Prize laureates, and current or former members of the Norwegian Nobel Committee. The deadline for the return of the nomination forms is 31 January of the year of the award. The Nobel Committee nominates about 300 potential laureates from these forms and additional names. The nominees are not publicly named, nor are they told that they are being considered for the prize. All nomination records for a prize are sealed for 50 years from the awarding of the prize.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote.

Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake ambao wamejikuta wakiathirika kiafya kutokana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa katika kupikia.Ndio Sauti pekee inayosikika na kusikilizwa juu ya nishati safi ya kupikia,ndio Sauti ambayo inaendelea kusikika masikioni kwa Mataifa tajiri na masikini,ndio mtetezi wa mwanamke na mtoto wa kike Duniani Kwote.

Rais wetu kipenzi anataka iwe mwisho wa machozi ya wanawake na mtoto wa kike kutokana na matumizi ya nishati hiyo hatarishi ya kuni na mkaa kupikia. Rais Samia Ameibuka na kuinuka kama nyota ya matumaini katikati ya giza kuwafuta machozi na kuwakomboa wanawake .

Kwa njia hiyo Rais Samia amefanya kazi ya kupiga ndege wawili kwa jiwe moja kishujaa na kihodari sana. Kwanza kwa kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kama vile gas, umeme n.k. maana yake anafanya kazi ya kuokoa mazingira yetu .kwa sababu kila mwaka maelfu kwa maelfu hadi mamilioni ya miti yamekuwa yakikatwa na kuteketezwa kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa. Hali ambayo imekuwa ikiacha jangwa Maeneo mbalimbali Duniani kwote hususani katika Nchi zinazoendelea.

hali ambayo kwa kiasi kikubwa imepelekea na kuchochea mabadiliko ya hali ya hewa maeneo mbalimbali Duniani kwote.kama vile ongezeko la joto kali pamoja na ukame mkali ambao umesababisha madhara mbalimbali kama vile kufa kwa wanyama,kukauka kwa mimea na hivyo kutokea kwa njaa,kukauka na kupungua kwa vyanzo vya maji na hivyo kuleta athari za upungufu wa umeme kwa wale wanaotegea maji kama chanzo kikuu cha uzalishaji umeme.

Lakini pia hali hiyo imekuwa ikigharimu serikali zote pesa nyingi sana katika kukabiliana na athari hizo. Pesa ambazo zingeweza kutumika katika shughuli nyinginezo za maendeleo kama vile ujenzi wa shule, zahanati,vituo vya afya, miundombinu ya barabara, usambazaji wa Maji na umeme kwa bei nafuu na mengine mengi.

Lakini vilevile kampeni ya Rais Samia inaokoa Maisha ya Mwanamke na mtoto wa kike kutokana na matumizi ya kuni na mkaa kupikia. pia inainua uchumi wa mwanamke kwa kutumia muda wake katika shughuli za kiuchumi badala ya kusafiri umbali mrefu kwenda porini kutafuta kuni.

jambo ambalo wakati mwingine limeleta madhara kama vile watoto wa kike kubakwa maporini,kuumwa na nyoka ,kuumwa na kuvamiwa na wanayama wakali wa msituni pamoja na kuumia kwa kudondoka kwenye miti au kuchomwa na vitu kama vile miiba,miti na ajali mbalimbali za porini.

Kuibuka kwa Rais Samia na kampeni hii ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kunamfanya Mama kuwa nuru na tumaini kwa wanawake na watoto wa kike ulimwenguni kwote. Jambo hilo la kuokoa Maisha ya mamilioni ya wanawake na watoto wa kike ulimwenguni pamoja na kuokoa mazingira kunamfanya Rais Samia kuwa na Nafasi kubwa ya kutwaa tuzo ya Nobel.

Sioni kinachoweza kumzuia kubeba tuzo hiyo ya heshima kabisa Duniani Kwote. Mama anastahili kabisa bila kipingamizi kupata heshima hiyo. Naamini waandaaji wa tuzo hiyo mpaka muda huu watakuwa wameshaona mchango chanya wa Mama na kusubiri wakati ufike tu ili waweze kumpatia Mama yetu Mpendwa na shujaa wa Afrika.View attachment 3236800View attachment 3236802View attachment 3236804View attachment 3236805

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Marais wengine wanapiga picha wakizindua viwanda vya magari yanayojiendesha yenyewe, vinu vya nyuklia na makombora ya masafa marefu,nyie mnamdanganya mama apige picha na mitungi ya gesi ya kupikia. Kweli Luka mshamba!!
 
Makombora ya masafa marefu kwa ajili ya nini hapa Nchini na kwa ajili ya nani?
 
Huna akili ww na kizazi chako kitapata tabu sana km utojirekebisha
 
Wivu tu ndio unakusumbua.
Nobel sio tuzo inayotolewa sawa na tuzo wanazomtafutia "Chawa wa Mama" Unakuta nchini kwko wewe unayehubiri "clean cooker" wanakutana na maroli ya mkaa yanayopita kihalali na kulipiwa ushuru..wanazunguka mitaani kule kizimkazi wanakuta vibibi vinapikia vifuu na makarara ya nazi. hiyo Nobel Prize unaipata wapi labda tuzo ya kumiliki machawa wengi ..
 
Back
Top Bottom