Tuzo za CAF 2024: Kwanini Diamond Platnumz hakushangiliwa hata na mtu mmoja alipotumbuiza?

Wakati mwingine wivu na roho mbaya vinaweza kukufanya ukaona unachotaka kuona tu na si vinginevyo.
 
Nilikuwa nasema uyu jamaa hajui ku performe kulingana na audiences .uwezi tumia dk 5 kucheza na dk 1 kuimba wakati una dancer sasa maana ya kuwa na dancer ni nini ..sehem kama ile aibu itaji fujo fujo
 
Kikubwa kalipwa
Imeishaa hiyooo

Ova
 
Cha muhimu ni maokoto (pesa)
Shangwe baki nalo ww.
All the best
 
Kuimba live band ndio kipaji cha mtu kilipo,
Kuimba kupitia recorded audio (iliyochunjwa, na ku haririwa na technology, sio kipaji!)

Viapaji ni kama

BANANA ZORO
CHRISTIAN BELLA
ROSE MUHANDO
Umewahi kumsikia barnaba boy na rubby? Utafurah hakika. Barnaba anapumzi ya kutosha, rubby sauti yake ni ile ile ya redioni
 
Watu walimlia bati kama awamsikii vile
 
Kishakunja hela yake kama juzi Kenya alivyokunja USD 150k kaamsha.
 
Siangqliagi upuuzi ila hii habari ni ya uongo.

Hata kama msanii hapendwi, hawezi kukosa shabiki hata mmoja
Ulitazama? Huo ndiyo ukweli. Hata alipomaliza ni kama hakukuwa na chochote kilichofanyika. Washereheshaji wakaendelea na mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…