NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Kwahiyo timu ambayo ni bingwa wa loser cup aliifunga timu ya champions league sio?Actually amepokea tuzo kwasababu ya kushinda kombe la Super Cup sio loser Cup ya washuka daraja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo timu ambayo ni bingwa wa loser cup aliifunga timu ya champions league sio?Actually amepokea tuzo kwasababu ya kushinda kombe la Super Cup sio loser Cup ya washuka daraja
Tuzo amepokea kutoka wapi ???Actually amepokea tuzo kwasababu ya kushinda kombe la Super Cup sio loser Cup ya washuka daraja
Kama akili za wanasimba ndio hizi basi kuna kazi nzito.Hausiki na Yanga huyo usifosi undungu sheikh, we komaa na Pacome
Caf akinya nawe unaramba sivyo?View attachment 2835806
Aliyeweka 2023 sio mimi ni CAF
Aliyeweka logo ya Simba sio mimi ni CAF
Unajikuta wewe ndio bwege
Mangungu ana wajua vizuri ndio maana akawaletea Manzoki kwenye uchaguziKama akili za wanasimba ndio hizi basi kuna kazi nzito.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app