Tuzo za TMA hiki cha Msanii Zuchu kuja na Madansa walivaa majoho ya madhabahu na misalaba kuimba matusi halikubaliki serikali ijue Wakristo tunahesabu

Halafu kingine kipengele cha nyimbo za gospel hakipo,wakati dunia nzima tuzo za mziki haikosi kipengele cha nyimbo za gospel,namashaka na mama yenu mzenji alipigia mstari kisiwepo coz kipindi cha magu mirabaa ya gospel ilikuwepo ,kisha kuingia kwa mama yenu akafuta gospel kijanja,na sijawahi kuona kamuita muimbaji wa gospel kuimba ikulu ok kwakuwa sio mkristo huyo mama but wapo vingozi wakristo na yeye ni kiongozi wa nchi sio wa kidini
Hili nalo linakuwa ni ajenda ya nchi...kweli kupata maendeleo ni ngumu kwa vichwa hivi tulivyonavyo
 
Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).

Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance

Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.

Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.

USSR
View attachment 3130094
na wewe tunakuvumilia huwezi kusema eti "ccm ndio dini yako na magufuli ndio nabii wako" ovyo kabisa!
 
Huyu dogo nilikua napenda mziki wake ila kwa alichokifanya nimemfuta kwenye list yangu.
 
Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).

Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance

Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.

Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.

USSR
View attachment 3130094
Toka lini wakristo mkawa serious na dini yenu ..alafu we nandy mbona una roho mbaya hivo mwenzio si alikupigia makofi uliposhinda
Unakuja kumchafua na ID fake
 
Waislamu y wachokozi
Wao wanakashfu Imani ya ukiristo
Ila hata ukila kitimoto Zanzibar watabweka kama mbwa mwenye kichaa
Waislamu heshimuni Imani ya kikristo acheni uchokozi
Nyie hamueshimu dini yenu asa cc tutaishemu vip? Nyimbo au filamu za maigizo zote zinapigwa kanisani fresh tuh
 
Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).

Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance

Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.

Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.

USSR
View attachment 3130094
Mkuu natafuta msalaba hayo mengine hayana maana
 
Wewe sio Mkristu. Mkristu wa kweli halalamikii vitu vidogo vidogo kama hivyo. Iwapo Dan Brown aliandika kitabu Cha "The Da Vinci Code" akilitukana wazi wazi Kanisa na bado likamchukulia poa, seuze Zuchu kuvaa majoho?
 
Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).

Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance

Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.

Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.

USSR
View attachment 3130094
Ukristo na wakristo hawako hivyo. Mungu wa wakristo hayuko kwenye misalaba wala vitambaa vinavyooza. Wewe hata msalani nenda navyo ukavitumie hakuna madhara yoyote utapata wala mkristo kukushitaki.
 
Halafu kingine kipengele cha nyimbo za gospel hakipo,wakati dunia nzima tuzo za mziki haikosi kipengele cha nyimbo za gospel,namashaka na mama yenu mzenji alipigia mstari kisiwepo coz kipindi cha magu mirabaa ya gospel ilikuwepo ,kisha kuingia kwa mama yenu akafuta gospel kijanja,na sijawahi kuona kamuita muimbaji wa gospel kuimba ikulu ok kwakuwa sio mkristo huyo mama but wapo vingozi wakristo na yeye ni kiongozi wa nchi sio wa kidini
Pole mama au hata kama ni mbaba pole pia. Katika uislam muziki ni dhambi kubwa . Kwahiyo hizo tuzo tu ziko katika madhambi Kwa mujibu wa dini hii. Namaanisha hivi kutokuwepo Kwa Kwa gospo katika kategori hii hakumaanishi chochote kuhusu uongozi ama viongozi unasema ni waislam
 
Mi sio mtu wa hizo Imani mbili , ila Kwa maoni yangu Kila mtu aheshimu Imani ya mwenzio bila kuikashifu, mfano d voice aliimba " nikuulize unamjua yesu , Kwa jina la baba ilo na la mwana ilo na roho mtakatifu aminaa ilo" afu ye ni muislam
 
Back
Top Bottom