Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).
Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance
Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.
Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.
USSR
View attachment 3130094