Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Kama alishindwa uzuri_hatujuani jana, Mpaka akatoka mita wewe ni nani!Kudadadeki poteeni njia muone..
Mtatembea na barafu kama wachezaji wa mpira..injury kibao
Wanaume wa humu Jf kwanza hamna pumzi.
Kutwa kula chips yai rojo na tomato nyingi