Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Napita tu, naona vijana wanagombania kombe, mbaba nimepoa zangu hapa huku Nusura huku mshangazi hapa glass sina stress. Vijana niwaambie tu huyu Mshangazi dot com na Nusratt hamuwawezi niachieni tu mtafia matakoni,endeleeni kufosi vitu shauri yenu
Mwenye pepo yangu, we mwenyewe jana nusu ujifie Nusratt alivyokurushia lita usoni halafu mimi nikaweka hilo rungu mdomoni. Leo tulikua tunawaza sijui ataamka kweli, tukikupa tena tunaweza kukupoteza.
 
Back
Top Bottom