Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Leo ni siku yangu bora zaidi kwa mwaka 2025, kuna jambo siwezi kuliweka hapa limenifurahisha sana.

Kama kungekua na kijana anajielewa humu, leo ningemtunukia friendly match, tatizo waliobaki wote si type yangu kama akina Tajiri Sina BAYA na kibamia mzabzab

Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa replies 100, mlinifanya nilale saa kumi alfajiri, mpaka next day nikaamka naumwa.

Majibu ya mwanangu Poor Brain na mzee wangu wa dhahabu Ushimen yamenipa raha sana wiki hii.
Kinachonifurahisha mimi ni kuwa shetani Abdul (mtoto wa Mama Samia) bado anateka watu na Mama pamoja na jeshi letu tukufu la Tanzania wako kimya tu wakimpongeza kijana wao.
 
Back
Top Bottom