Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Kusema ukweli kila nikipitia nyuzi za Mshangazi huwa zinaamsha vitu nlivyovipumzisha kwasababu mke wangu yupo mbali kikazi. Wakuu siwezi kufungua shauri mahakamani nimshtaki huyu shangazi kwa kuibua hisia zangu na kuyafanya maumbile yangu yasimame mara kwa mara kitu kinachopelekea kinivuruge focus yangu ya kila siku? Maombi ya mashtaka nikishinda kesi ni kuwa incase mahakama ikithibitisha ana makosa basi imuamuru kila shida inapotokea atufutwe aweze kunitatulia .

Karibuni mawakili mnaoweza kunirekebisha ili kesi hii ikae sawa
 
Pole sana, hapa haina budi waje mawakili tu wakusaidie maana mimi kuamsha huo mnara wako siwezi kuacha.

Ila kama unazidiwa sana, ukiona nyuzi zangu usifungue 😂 maana lazima utanyegeka.
 
Leo ni siku yangu bora zaidi kwa mwaka 2025, kuna jambo siwezi kuliweka hapa limenifurahisha sana.

Kama kungekua na kijana anajielewa humu, leo ningemtunukia friendly match, tatizo waliobaki wote si type yangu kama akina Tajiri Sina BAYA na kibamia mzabzab

Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa replies 100, mlinifanya nilale saa kumi alfajiri, mpaka next day nikaamka naumwa.

Majibu ya mwanangu Poor Brain na mzee wangu wa dhahabu Ushimen yamenipa raha sana wiki hii.
Ule Uzi umefutwa na sijui
 
Nusratt naomba leo unihurumie kidogo ipumzike sitaki kabisa isimame hata kidogo leo, tokea jtatu iliyopita hadi leo haijapumzika, wacha kabisa kuongelea nirikave kwanza 😌
☹️☹️☹️
Jamani!
Leo hakuna mada maana Mshangazi dot com jana kakutana na ile ya mandonga.
Mpaka dk hii sijui anajipepea wapi na feni.
 
☹️☹️☹️
Jamani!
Leo hakuna mada maana Mshangazi dot com jana kakutana na ile ya mandonga.
Mpaka dk hii sijui anajipepea wapi na feni.
Hiyo ni kazi ya rungu langu ndo maana nakuomba leo usijilegeze wala kujilengesha kabisa, sio kwamba ukinipa nitafeli, ila nataka kautulivu kidogo sawa mai 🙂
 
Back
Top Bottom