Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Leo ni siku yangu bora zaidi ya mwaka 2025, kuna jambo siwezi kuliweka hapa limenifurahisha sana.

Kama kungekua na kijana anajielewa humu, leo ningemtunukia friendly match, tatizo waliobaki wote si type yangu kama akina Tajiri Sina BAYA na kibamia mzabzab

Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na @issacc kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa, mlinifanya nulale saa kumi usiku mpaka kesho yake nikaamka naumwa.

Majibu ya mwanangu Poor Brain na mzee wangu wa dhahabu Ushimen yamenipa raha sana wiki hii.
Lakini mshangazi asikirizwe kama sanamu ajengewešŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ana hoja muhim
 
Pendekaza mkao utakaokufanya ukojoe sana hadi uishiwe na maji mwilini.
Ngoja nije niipandilie kwa juu
giphy.gif
 
Ukimkaza ukisikia anasema inawaka moto, we muulize achague moja..
1. Uite zimamoto/fire
2. Au ulete maji umwage, utasikia tu "USITOE BUANA"..we kaza, kaza kaza hadi akueleze manka aliendaga wapi.. we kaza kama vile yaan we mkaze.
 
Back
Top Bottom