Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #81
Ndiyo, mnione wote na ikiwezekana msanamu uvalishwe kitamaduni kama wamakonde walivyokua wanavaa zamani. Unaziba maziwa na chini kikojoleo kidogo tu na vipande vya majani.Nikuone nikitoka tu dar kwenye ule mzunguko mpya pale😂😂