Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

Ndo maana nawashangaaga wanaosema eti wanawake wenye matako mengi hawana akili. Labda wanawake zao huko sio wewe mshangazi wangu, imagine unajua hadi kubalansia tuvulana utamu
Eeenhe wavulana kama Mbaga, ukiwapa "popo kanyea mbingu" wanarukwa na akili kabisa, hizo za wazoefu tu.
 
Mimi nakaribia kibo halafu unitolee mashine, daah au ile imenoga halafu ghafla bahati mbaya inachomoka, huwa ni haraka sana naizamisha tena.

Ndiyo maana huwa tunawakaba tukikaribia kufika ili isitoke 😂 😂
Kwani mboo ni yako ? Nikiamua natoa pale nikiona kabisa unaelekea kufika 😁
 
Leo ni siku yangu bora zaidi kwa mwaka 2025, kuna jambo siwezi kuliweka hapa limenifurahisha sana.

Kama kungekua na kijana anajielewa humu, leo ningemtunukia friendly match, tatizo waliobaki wote si type yangu kama akina Tajiri Sina BAYA na kibamia mzabzab

Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa, mlinifanya nilale saa kumi alfajiri, mpaka next day nikaamka naumwa.

Majibu ya mwanangu Poor Brain na mzee wangu wa dhahabu Ushimen yamenipa raha sana wiki hii.
Pole sana mamito Mshangazi dot com.
Sema mimi nafurahishwaga na nyuzi zako unazoanzisha na ndio maana natenga muda wangu mrefu tu wa kuwepo ndani ya uzi wako kuchangia na ku chat nawe na wengine.

Zipo nyuzi nyingi sana huwa wananitag, ila sinaga mzuka nazo.
Ila nyuzi zako unazoanzisha 🤝🤝 sana.
Mimi unanifurahisha kila muda, si kila wiki tu bali kila siku.
🫶🫶🫶
 
Pole sana mamito Mshangazi dot com.
Sema mimi nafurahishwaga na nyuzi zako unazoanzisha na ndio maana natenga muda wangu mrefu tu wa kuwepo ndani ya uzi wako kuchangia na ku chat nawe na wengine.

Zipo nyuzi nyingi sana huwa wananitag, ila sinaga mzuka nazo.
Ila nyuzi zako unazoanzisha 🤝🤝 sana.
Mimi unanifurahisha kila muda, si kila wiki tu bali kila siku.
🫶🫶🫶
Haya sasa ile Threesome ulikuwa unataka ndo leo,naona tupo watatu tu 😁
 
Mpee tu mzee wa watu ashajichokea tu,huyo unampa hata paja tu anakojoa vizuri tu
Nisiseme mengi, nishakutana na huyo saa nyingine ikifika tu pajani anaanza kuhema kama anataka kufa anamwaga. Huna cha kufanya unabaki kuona huruma tu 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom