Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Hakika mkuu alafu huwa kuna uhusiano gani kati ya hisia, mawazo na machozi, kwa nini ukilia au kuongea na mtu unahisi kama kuna kitu kimepungua kwenye moyo wako
 
Endelea nimekuSabuskraibu tayari nipo na popcorn zangu 🍿 🍿
 
Hawa ndo mashoga zako?
 
Ndio maana nakupendaga bint wa zamani haya nipe code hizo na Mimi nianze kupendwa niache kutia huruma 😁
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mnyonge mnyonge anayetia huruma - kwangu mimi ni bonge la turn off.

Hata kama huna hela na mwanamke siyo level yako, we jiamini, ukimpiga sound kaza mpaka mwenyewe ajiulize ana nini huyu kijana ngoja nimsikilize. Akishakupa hiyo nafasi, cheza kama pele, goli liingie πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ !

PS:
Kwani nyie hamkua wajomba au baba wadogo ambao waliwafundisha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbinu tulipewa na mababu zetu ila siunajua ujuaji tukajifanya tuna mbinu zetu zikatupoteza kabisa πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…