Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Madhara yake yapo kisaikolojia zaidi...huyo Msagaji na Msagwaji hawataona umuhimu wala utamu wa Dushe zetu hivyo hata kuja kuzalishwa watoto itakuwa kimbembe

Pia inategemea wanatumia nini kufanya milling, kama watatumia aidha Carrot au matango yenye nchi 9 urefu na upana nchi 4....hii itawatengenezea Mabwawa na kusababisha kuona Dushe zetu za 7 Inches kuwa Vibamia

Umeona sasaaa
Ninachojua haya mambo ya kusagana yapo kitambo sana. Hizi kelele tunazozisikia ni sababu ya utandawazi na kukua kwa teknolojia. Ila tangu kitambo wasichana walikuwa na tabia ya kupeana access ya miili yao.

Miaka ya nyuma usiri ulikuwa ni mkubwa sana baina yao, ila siku hizi hata sehemu za siri siyo siri tena.
 
na namna tunavyozidi kunyamaza, ndivyo wanavyozidi. swali langu, hivi waalimu wao, tena wengine masista, huwa hawajui hilo? kwanini mtoto mjinga wasifukuze shule watoto wengine wapone? kwanini hawachunguzi?
Hao waalimu wenyewe ndio walewqle. Siku hizi sio ajabu kukuta waalimu wanagombaniana vitoto. Tangu watoto wa late 90's waajiriwe kwenye kada za elimu na afya wengi huwa wanawaza kunyandua wateja wao, mshahara ni bonus tu lakini lengo kuu ni kupata mademu wa kutosha. Ndio maana utakuta mwaka mmoja baada ya kuajiriwa tu, wanachukua mkopo ili kununua gari wapate kuringishia vizuri.
 
Ukiachana na magonjwa, kusagana huwa ina madhara gani kwani??

Naonaga ni kitu ambacho wala hata hakinaga ishu yoyote yani, tofauti na ikitokea upande wa pili
Madam acha kabisa hawa watu ndio watakuja kumiliki madanguro ya kuhatibu watoto wa kike na kufanya watoto wachukie ndoa
 
Back
Top Bottom