Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Daah aiseee vitoto vidogo vinakuwa vishabanduliwa Hadi nyuma daah,

So painful wakuuu
Aloh hatari ila kama jana mwanawane nimeona vitoto vya miaka 15-17 vya kike vilivyo vaa unasemanhivi kweli mzazi anamruhusu mwanae atoke nyumbani akiwa amevaa vile.....wazazi wanafeli sana katika malezi these day.
 
Solu
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Solution watoto wasome shule mchanganyiko
 
Ndio mkuu kuna video watoto wamefanya uchafu, ni watoto wadogo kwa mtu mwenye maadili ya uzazi ila dah , acha tu inasikitisha sanaaa tunakoenda Bao Bab wajitafakari
Tulieni nyinyi uchafu uchafu mnaujua uchafu nyinyi mna usafi gani au sababu hamuwekwi kwenye front camera?
 
Back
Top Bottom