Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

na namna tunavyozidi kunyamaza, ndivyo wanavyozidi. swali langu, hivi waalimu wao, tena wengine masista, huwa hawajui hilo? kwanini mtoto mjinga wasifukuze shule watoto wengine wapone? kwanini hawachunguzi?
Wewe unaweza , wana shughuli nyingi na sio kumlinda mwanafunzi tu, hata muda alionao wa kumchunguza anaweza asipate lolote
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Imagine watoto wadogo wanadumbukiza ma dido ya nchi 8 meusi kama mpingo miaka minne mfululizo then huku ukubwani mnataka tuwakojoleshe yaani mnahisi na sisi ni kama hayo madido mliyokuwa mnayatumia..

Kila mtu apambane na hali yake kwakweli..
 
Msalato (ya serikali), mazinde Juu (masista), zile za moshi maflowers (masister), huruma girls Dodoma (masister na rozali muda wote). just to mention a few.
Wanafunzi wa 3 wa Huruma girl miaka furan walisha wahi ingiza muuza mitumba kwenye mabweni yao wakawa wanajisevia wa zamu.
 
Mmh madhara yake ni ya kufikirika bana.....anyway sisapoti hizo tabia. Ila mi kama mi huwa sioni madhara yake.

Tango litanue uchi, ambao mtoto/watoto wanapita na hawatanui? Sidhani
Mtoto anapita mara moja hilo tango kinapita mara ngapi .!
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Mifumo ya shule na taratibu za shule ni mifumo inayofanana sana na mifumo ya magereza na wakati mwingine ni mibaya zaidi mana inajenga kizazi cha watu waoga na wasioweza kusema ukweli na kukemea uovu.

Walimu ni wakali sana na wanaona ufahari kuogopwa sana na wanafunzi.
Sasa mwanafunzi anayemuogopa mwalimu kuliko hata polisi anawezaje kumweleza matatizo yake au hata kusema yale yanayofanywa au anayofanyiwa na wenzake.

Dunia imejaa watu waovu na kinga ya uovu ni siri .
Kila mahali ni siri tu kuficha uovu badala ya kuuweka wazi.

Kuna mwalimu wa shule ya msingi alimpa mtoto wa darasa la tano mimba . Wenzake wengi wanajua kuwa ni kweli akafunguliwa kesi na akasimamishwa. Chama cha walimu lilisimama kidete kumtetea mwalimu mwenzao na kumwekea mawakili mpaka akashinda na kurudi kazini.

Nikajiuliza sasa hiki chama mbona hakipiganii maslahi mengine ya walimu? Nikajua Kumbe wanafunzi hawana mtetezi wa kupigania maslahi yao!!
Mwanafunzi amebakwa na mwalimu lakini juhudi za kutafuta haki ya mwanafunzi inakosekana hivyo mtuhumiwa anaambiwa kubwa hana hatia na mwanafunzi anakosa haki yake hata kudai fidia.

Kwa hiyo wanafunzi wa kike kusaganya ni kutokana na mifumo ya kimagereza ya shule zetu . Mwalimu na mwanafunzi anayetafuta elimu akiwa shuleni ni kama askari magereza na mfungwa ambaye ni muhalifu.
Shule nyingi siku hizi hazina vipindi vya michezo na kazi za nje za mikono kuanzia saa tisa kila siku .

Na pia walimu wa kike ndio wanaolia wakatili zaidi kwa wanafunzi wa kike jambo linalowafanya wakose pa kusemea na kueleza changamoto zao.

Ushauri wangu kwa serikali:
Kiundwe chombo maalumu cha kusimamia na kusikiliza changamoto za wanafunzi mashuleni kwani na vyuoni ili kubaini mapema matatizo na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa .

Wanafunzi wakarifi wanaweza kupelekwa shule za watoto watukutu ili wakaishi kama wafungwa ili wale wema waishi kwa amani na ustarabu kuliko kuwachanganya mbwa mwitu na kondoo. Hasa Private school kuna watoto mpaka mafreemason.
 
Wanawake wengi huwa wanaacha wakimaliza shule tuu. Wakienda chuo wanakuwa na maisha ya kawaida. Kimbembe kwa wanaume km hakuweza kuacha basi ni mzigo wa mawe huo.
 
Siku hizi mabweni yote yanayojengwa na serikali sharti yasiwe na milango pengine ni kujaribu kuangalia ni namna gani ya kupunguza janga hili
Kuna shule moja niliwahi kufika Mkoani mwanza mwaka 2006 nilistaajabu sana.
Vyoo na bafu za mabweni ya wasichana havikuwa na milango. Vilevile chumba cha Matron katika bweni hilo pia hakikua na mlango, nikaambiwa hiyo ndiyo formula wanayotumia
 
Wapewe siku moja au mbili kila mwezi kwenda kutembelea shule ya wavulana iliyo karibu nao wakale na kucheza pamoja 25HRS.
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Hii Dunia yani ukisimama Nchale ukikaa Nchale...utampeleka shule ya Day Bodaboda wambandue...Boarding wanasagana.
 
Back
Top Bottom