Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Bora wanaosagana kuliko shule za wavulana wanaokobekana bila aibu.
Huko ndiko kubaya zaidi
 
Mi wanangu wa kike/kiume kuanzia form one huwa napenda wasome shule ya kutwa tena mchanganyiko ili wapate uzoefu wa kutongoza/kutongozwa na kukataa ama kukubali pilikapilika za wanafunzi wa jinsia tofauti na wao.

Sioendi shule za bording hasa jinsia moja kwani zinawafanya kuwa mashoga/wasagaji wa kimataifa.

Kakini pia wanakosa ujanja wa kukabiliana nabinadamu wa jinsia tofauti na wao
 
Tstizo ni ushoga huo usagaji hakuna shida yoyote msichana anaweza kuendelea kuwa msichana tu ila ushoga mvulana anapoteza umwanaume wake na kuwa na ulemavu wa uanithi...mwanamke hawezi kuwa anithi kwa kusagana....kitu kibaya sana ni ISHOGA weka mbali na watoto hii kitu
kabisa
 
Unazani ataweza kuwa na hai a ya kike na kumfurahia Mwanaume na Mwanaume kumfurahia?
Unazani anaweza kują kuzaa na kiwa vizazi endelevu?
Unazani kwenye kinyume na asili utafanikiwa ?
Utaweza kumwamini na kumuacha na watoto nyumbani wakabaki silama bila kuambukiza hiyo roho?
Rerejea kuangamia kwa Mirembe wa GGm na yule alokuwa mkewe kwenda kuishia jera ,
Familia zote mbili zimę kula hasara.
Jamii haiwezi kukubaliana na Msagaji au Shoga
Mkuu tulia uandike vizuri bana.
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Waache wapoteaje wakutane na Yesu watarudi ktk mstari Hawa wameamua kusagana kizazi kutakua cha ovyo sana kijacho haya ni matokeo ya wazazi wenyewe kutengeneza mifumo ya namna hii
 
Ukiachana na magonjwa, kusagana huwa ina madhara gani kwani??

Naonaga ni kitu ambacho wala hata hakinaga ishu yoyote yani, tofauti na ikitokea upande wa pili
mahusiano ya jinsia moja ni mwiko kwenye jamii zetu za kiafrika

msagaji hatoolewa

au unazungumzia bisexuals wanaopenda jinsia zote mbili?
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Wakitoka maisha shule wataacha. Ni afadhali wasichana kusagana
 
wakishasagana wanakuwa UNGA!!
 
Shule za bweni za siku hizi miyeyusho Sana.
Bora hata kumsomesha mtoto shule ya kutwa
Sio za siku hizi, hata huko zamani yalikuwepo haya. Tuliosoma girls enzi hizo tunayajua haya. Tulikuwa tunazijua couples zote za shule. Tena wanazungusha mzingo kwenye vitanda na wanafanya yao kimyakimya.
 
Back
Top Bottom