Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Wanangu watasoma shule za mchanganyiko Mungu akinipa uzima, hapa shida kubwa ni kwa wazazi kuwa limbukeni kwenye elimu, tunaamini katika ufaulu tu mambo mengine ambayo ndio ya msingi tunayaacha, sasa kuna maana gani una mtoto ana PHD lakini ni shoga au msagaji, hiyo PHD yake itakusaidia nini? utaifurahia kwa namna gani? haya mambo yanaumiza, utayaona ya kawaida kama hayajakufika lakini, likikufika jasho litakutoka, utambulishaje kijana wako mbele ya rafiki zako ooh! this is my first born halafu wanajua huyo first born wako ni shoga, inauma sana. Heri asifaulu akakuletea mtoto utakasirika kwa kipindi cha mwanzo lakini siku zikisonga utamfurahia mjukuu