Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Acha vijana wetu waenjoy kikubwa wanafaulu, Altenative ya Nyeto na Kusagana ni Kutia mchanga kitumbua uko tayar kulea mimba shule iishie hapo?

Ukiweza kuzuia kabisa dhambi umefanikiwa katika hili pia.
 
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
kwaiyo saizi kote shida boys wanafirana
wasichana wana sagana
Sasa hilo tatizo linasababishwa na nn
 
Wawe wananipeleka kufundisha hizo shule.

Wiki moja kila shule
 
Back
Top Bottom