Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
nimesoma almsot comment zote so far sijaona aliyetoa solution tunawezaje kudili na hilo tatizo kwa mtizamoa wangu nadhani njia zifuatazo kwa uchache zinaweza kusaidia
1.kuhimiza mafundisho ya dini-watoto wafundishwe wakiwa shuleni juu ya maadili ya dini na tabia njema kwani wakimuogopoa mungu automatically wataacha au kujizuia kufanya hiyo michezo kwa kuwa wanajua ni kinyume na mafundisho ya dini
2.watoto wa kike walazimishwe kushiriki michezo-mawazo hayo potofu ya kusagana huja mara tu mtoto/mtu anapokula vizuri na kushiba na kutokuwa na kitu cha kufanya hivyo wanapoishughulisha miili yao na michezo huchoka na automaticaly wakitoka night prep wakiwa wamechoka ni rahis kulazimika kulalala kuliko kinyume chake kupumzisha mwili
3.watoto watakaobainika wanasagana hasa wale matomb boy wapatiwe adhabu kali ikiwemo kufukuzwa shule ili wengine wajifunze kwayo!!!!
4 mwisho kwa sasa ni kuwa na intelijinsia kali katika rooms za wasichana ili kujua wanaoentatrain hivyo vitendo na kuviweza kuvidhibiti kabla ya kuleta madhara makubwa