Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.

Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe wanajuana kuwa huyu wa fulani na yule wa fulani? watu hadi wanapata shida watoto wao wakiwa wanasoma huko.

Nini kifanyike? wanaume wameoa wake wengi tu mitaani huko wakiwa shule walikuwa wake wa wanawake wenzao na walikuwa wanalelewa. kuna shule moja walikamata binti anasaga wenzie hadi ana zana katambea nazo kwenye begi toka nyumbani.

Hebu mliosoma shule za girls tu tuambieni, hali uwa ipoje huko? kwa wanaume mchezo mchafu huwa haupo kabisa ukiondoa masterbation.

Soma Pia: Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana
Mbona hata vijana wa kiume wanafirana.?!
 
Ukiachana na magonjwa, kusagana huwa ina madhara gani kwani??

Naonaga ni kitu ambacho wala hata hakinaga ishu yoyote yani, tofauti na ikitokea upande wa pili
Nikuibie siri hii niliambiwa na Dada mmoja ambaye ni mzoefu wa hiyo michezo
Unaambiwa mwanamke akizoea kusiginwa na mwanamke mwenzie huwa anakosa kabisa hamu na mwanaume hata ukimwoa sahau kabisa kwamba atakupenda kuzidi yule anayemsaga
 
Daaaa kazi sana....enzi hizo tech social mefia haikuwa sana.....mbona kama tulikuwa tunawasaidia sana kuja orchard usiku ?? Gate la yule mama Mbema lilikuwa kali......safiiii wewe ni Nyosooo
Hahahah, enzi za mama Mnema geti kali lakini kuna wasichana walikuwa wanatoroka usiku kwenda kule nje ya geti kufuata wanaume. Wengi tu walifukuzwa shule na kupewa suspension
 
Kuna shule moja ya wasichana tupu ipo hapa Bagamoyo ni shida kubwa. Wasichana wanakoboana hadi wanagombaniana mademu zao kiasi cha kupigana.

Kuzuia hiyo tabia ni vigumu mno! kwasababu ni mambo ya sirini yanafanyika kwa kificho hadi kuja kugundulika inakuwa too late msichana keshaonjeshwa / kuonja ladha ya chumvi chumvi chumvini.

Ila kwa mzazi / mlezi au ndugu inaumiza sana kuwa na mtoto msagaji au shoga
Dah haya mambo ni hatari sana.
 
Daah aiseee vitoto vidogo vinakuwa vishabanduliwa Hadi nyuma daah,

So painful wakuuu
 
Nini kifanyike;
1. Wenye shule na wasaidizi wa shule, waweke msimamo mkali, kuwa atakaye gundulika kujihusisha na tabia hiyo atafukuzwa shule.

2. Kila mwezi kuwe na utaratibu wa kuzungumza na mwanafunzi mmoja mmoja....kwa njia ya maandishi au maneno.

3. Lazima uongozi wa shule uwe strict kusimamia nidhamu ya wanafunzi, kusiwe na mzaha wala simile.

4. Shule lazima iajiri ma matrons wenye maadili na wenye uzoefu wa hali ya juu.

5. Lazima kuwepo na walimu wa dini, mchungaji au shek wa kufundisha imani zao, hilo ni jambo muhimu sana la kiroho.
 
Mfano hii shule ya bagamoyo tangu kipindi nakaa huko bagamoyo ilikua inavuma sifa za kusagana tuu, mpaka hii leo yameibuka mapyaa na ya kuchukiza vitoto vidogo kama vile empty kabisa vimefumuliwa kote kote , vinasagana

Shule ukiiangalia nzuri kweli kweli ila yaliyomo sasa,

Nafikiri pia kuna shida ya kiuongozi katika ile shule si wa upuuzi ule
 
Mfano hii shule ya bagamoyo tangu kipindi nakaa huko bagamoyo ilikua inavuma sifa za kusagana tuu, mpaka hii leo yameibuka mapyaa na ya kuchukiza vitoto vidogo kama vile empty kabisa vimefumuliwa kote kote , vinasagana

Shule ukiiangalia nzuri kweli kweli ila yaliyomo sasa,

Nafikiri pia kuna shida ya kiuongozi katika ile shule si wa upuuzi ule
mkuu unaongelea baobab? hivi kuna video zimevuja ua? maana naona mitandaoni kama vile kuna kitu.
 
mkuu unaongelea baobab? hivi kuna video zimevuja ua? maana naona mitandaoni kama vile kuna kitu.
Ndio mkuu kuna video watoto wamefanya uchafu, ni watoto wadogo kwa mtu mwenye maadili ya uzazi ila dah , acha tu inasikitisha sanaaa tunakoenda Bao Bab wajitafakari
 
Back
Top Bottom