Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Ninachojua haya mambo ya kusagana yapo kitambo sana. Hizi kelele tunazozisikia ni sababu ya utandawazi na kukua kwa teknolojia. Ila tangu kitambo wasichana walikuwa na tabia ya kupeana access ya miili yao.

Miaka ya nyuma usiri ulikuwa ni mkubwa sana baina yao, ila siku hizi hata sehemu za siri siyo siri tena.
 
na namna tunavyozidi kunyamaza, ndivyo wanavyozidi. swali langu, hivi waalimu wao, tena wengine masista, huwa hawajui hilo? kwanini mtoto mjinga wasifukuze shule watoto wengine wapone? kwanini hawachunguzi?
Hao waalimu wenyewe ndio walewqle. Siku hizi sio ajabu kukuta waalimu wanagombaniana vitoto. Tangu watoto wa late 90's waajiriwe kwenye kada za elimu na afya wengi huwa wanawaza kunyandua wateja wao, mshahara ni bonus tu lakini lengo kuu ni kupata mademu wa kutosha. Ndio maana utakuta mwaka mmoja baada ya kuajiriwa tu, wanachukua mkopo ili kununua gari wapate kuringishia vizuri.
 
Ukiachana na magonjwa, kusagana huwa ina madhara gani kwani??

Naonaga ni kitu ambacho wala hata hakinaga ishu yoyote yani, tofauti na ikitokea upande wa pili
Madam acha kabisa hawa watu ndio watakuja kumiliki madanguro ya kuhatibu watoto wa kike na kufanya watoto wachukie ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…