RAFA_01
Senior Member
- Aug 10, 2022
- 103
- 169
Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu:
(In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote.
Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako bila kwenda dukani.
Kuna sababu zinazorudisha nyuma hii biashara kama miundombinu, elimu n.k lakini sababu kuu Tz ni zipi hasa? Maana electronics business haipo tu ya namna hiyo kuna namna nyingi na internet ina fursa nyingi sana.
Vijana wengi hawana ajira lakini internet ingeweza kuwasaidia wengi. Hii kitu imerahihisha mtu kukaa chumba kimoja au kuweka mawazo yako na mtu ambae kizaman zaman usingeweza kumjua wala kumuona.
Tatizo hili lipo hata kwa wasomi, juzi usiku napigiwa simu na mtu anataka aelekezwe jinsi ya kufanya malipo kwa Mastercard, Mind you ana elimu huyo zaid ya degree na ni kijana. Kwa utaratibu huu tutafika kweli?
Ili tuendelee inabid tuwe tunatatua matatizo yetu kwa ku intergrate technology, hakuna namna maana maendeleo yote toka zaman yaliletwa na mabadiliko ya uvumbuzi.
Narudi kwenye point kubwa, KWANINI HAKUNA MAENDELEO YA E-COMMERCE?