Tuzungumze sababu zinazorudisha nyuma ukuaji wa e-commerce(Biashara za mitandaoni Afrika)

Tuzungumze sababu zinazorudisha nyuma ukuaji wa e-commerce(Biashara za mitandaoni Afrika)

Hapa bongo Kuna utapeli mwingi sana hapa kwenye huu uzi tunazungumzia utapeli wa aina moja tu wa pesa

Kuna utapeli wa kuuziwa vitu vibovu ambavyo viko chini ya kiwango

Unaweza kwemda dukani au online kunanunua bidhaa kama nguo simu au laptop mpya au used fake

Ukifika nyumbani unaumiza kichwa tena na kuwaza kitu hicho ambacho tayari umeisha kinunua , kama ni simu unaanza tena kwenda kwa mafunfi kukolokocha

Wote utapeli
 
Huo utapeli hata kwa baadhi yq maduka janja janja ya brick and mortar upo
 
Huo utapeli hata kwa baadhi yq maduka janja janja ya brick and mortar upo
Ndio maana naagiza vitu vyangu Japan kuanzia vifaa vya umeme changamoto kule kuna baadhi ya vifaa vinatumia 100v ila ni og lakini vitu kama viatu nguo naagiza kule moja kwa moja.
Niliaguza Friji vote 100 wakanitengezwa step down hapa bongo inatumia umeme kidogo sana

Zile bili za mwezi napeta kama Sina friji ndani gumu sana linazaidi ya miaka 6 niko Safi nilikuja mtumba
 
Unaangiza kwa kutumia agents au utaratibu gan mkuu?
 
Utapeli na njia za malipo kwa mitandao mingi haziendani na wahitaji wa bidhaa wa tanzania! Tumesha zoea tigopesa mpesa airtel money, sasa mambo ya tembo card sijui visa card mara master card wapi na wapi
 
Hawa jamaa naowazungumzia unaingia kwenye menu yako ya simu unachagua kampuni Jina la platform ndio Jina la mmiliki wa accout

Kwenye kumbukumbu unaweka user name ya Jina unalolitumia kwenye platform yao

Pia unaweza kulipa bank wana account CRDB na NMB
 
Kunachangamoto nyingi sana kwenye hii biashara Kuna baadhi ya plafiform ni kubwa za sikunyingi sana zinawatu wengi lakini ukitanga platform yako ya online kosa watakuja wote, wakali waoga waoga waga najiuliza maswali mengi sipati maji ila muda ni mwali uwezi pambana na wakati kama una paltfom yako ya online komaa tangaza kwenye platform za nje kama fb twetter utaokota okota watu kidogo kidogo.

Mtu akiweka Tangazo utasikia office zenu zikowapi sio kanjanja nyie, lengo nikuwatisha watu wasitembelee kilasiku ukimuliza office za whatspp ziko wapi na kilasiku anatumia whatspp atakausha.

Nikosa kubwa sana kutuhumu tangazo au biashara ya mtu kama ujatapeliwa au kusikia mtu kataepili. wazungu wanapendana na kuinuana wabongo tuanpenda kuwainua wazungu leo tengeneza platform weka picha za wazungu kwenye front page uone.
 
Ufahamu bado uko mdogo, wa Tz wengi kununua kwenye website yenye payment gateway ya uhakika anaona anatapeliwa bora atume pesa kwa namba ya simu ya mtu aliemkuta Instagram kisa ana followers wengi, hapo ndio sielewagi😅
Wabongo hata ukiwa na platform yenye vigezo vyote upati mtu wao nataka kununua kwa mtu sio kwenye online platforms.
 
Ufahamu bado uko mdogo, wa Tz wengi kununua kwenye website yenye payment gateway ya uhakika anaona anatapeliwa bora atume pesa kwa namba ya simu ya mtu aliemkuta Instagram kisa ana followers wengi, hapo ndio sielewagi[emoji28]
Hapa ndio wengi sana wanalizwa kuna wale matapeli wa Insta na Facebook wanatumia majina ya watu maarufu kama Jakaya kikwete,Jokate Mwegelo,Mo dewji na kujifanya wanatoa mikopo ila masharti yao utume kiasi fulani cha pesa ili wakusajili,basi hapa kuna wajinga wengi sana wanatuma kweli hela wakiamini zile akaunti ni za kweli.
 
Back
Top Bottom