coracoid fossa
Member
- Aug 22, 2016
- 55
- 43
Wanawapa mitaji hawara zao wauze nguoNajiuliza swali moja tu clouds pesa hawana au vp tv kuwa na graphics mbaya vile
Majjizo ana miaka mitatu ila balaa lake kila mtu anakaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawapa mitaji hawara zao wauze nguoNajiuliza swali moja tu clouds pesa hawana au vp tv kuwa na graphics mbaya vile
Majjizo ana miaka mitatu ila balaa lake kila mtu anakaa
Kwanza hakuna ratiba kabisa maana leo muda huu wataweka wiki ijayo muda huo wanaweka kitu kingineKweli.Clouds Tv inaboha sana sana,vipindi vyao havina mpangilio hata kidogo.......wajipange kweli
Ipo kwenye majaribio mkuuTvE naona ni miziki tu sisi tusiopenda miziki labda baadae wakishaweke vipindi
Nafikiri ungesoma kwa makini nilichoandika ungejua nimemzungumzia vitu gani zaidiWabongo bwana tv iko kwenye majaribio.
wanapiga miziki inayojirudia list lakini kisa mnaiponds clouds ushaanza kusema itafunika wakati hujaona vipindi vyao.
kutengeneza vipindi vya tv vyenye ubunifu sio mchezo tusubiri waanze rasmi.
kiufupi jamaa hawapo organizedclouds wanatatizo lingine ambalo silipendi unakuta kipindi mdhamin wake ni kampun X lakin kwenye break wataweka hadi matangazo yasiyokua sehem ya udhamin wa kipindi au tangazo linaweza kurudiwa hata mara tatu muda wa break wa kipindi
Mkuu wapoo kwenyee majaribio Kwanzaa hata clous tv ilivyoanzaa ilanzaga kupiga mizikii ht redio inapoanzishwaa lazimaa ipige mzikii kimajaribio..kuwaa mpolee mambo mazuri yanakujaaYaani wanaboa hawana kipindi chochote cha kuelimisha zaidi music.