TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

TvE naona ni miziki tu sisi tusiopenda miziki labda baadae wakishaweke vipindi
 
Wabongo bwana tv iko kwenye majaribio.
wanapiga miziki inayojirudia list lakini kisa mnaiponds clouds ushaanza kusema itafunika wakati hujaona vipindi vyao.
kutengeneza vipindi vya tv vyenye ubunifu sio mchezo tusubiri waanze rasmi.
Nafikiri ungesoma kwa makini nilichoandika ungejua nimemzungumzia vitu gani zaidi
 
clouds wanatatizo lingine ambalo silipendi unakuta kipindi mdhamin wake ni kampun X lakin kwenye break wataweka hadi matangazo yasiyokua sehem ya udhamin wa kipindi au tangazo linaweza kurudiwa hata mara tatu muda wa break wa kipindi
 
kiufupi jamaa hawapo organized
 
Yaani wanaboa hawana kipindi chochote cha kuelimisha zaidi music.
Mkuu wapoo kwenyee majaribio Kwanzaa hata clous tv ilivyoanzaa ilanzaga kupiga mizikii ht redio inapoanzishwaa lazimaa ipige mzikii kimajaribio..kuwaa mpolee mambo mazuri yanakujaa
 
Back
Top Bottom