RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
Umempa good adviceKampuni bora ya kichina ni TCL, ukishindwa chukua Hisense.
Kampuni bora za TV Duniani ni Sony, Samsung na LG. Hizi ni High End.
Budget ama midrange ni hizo za kichina TCL, Hisense na nyingine.
Kila kitu kina mwanzo. Nilianza maisha ya tv ya kichina ya Star (sijui kama ndio jina lake ama nimekosea maana ni miaka mingi kidogo).
Pambana one day utasukuma Sony inchi 85 sebuleni kwako kiongozi.
Kila la heri kiongozi.
280k mkuuBudget gani? Ishi na Hisense kwa 32" iwe FHD inatosha hauitaji 4K, isiwe smart. Utapata kwa 350-450k.
280k ndo budget yangu,vipi Octa iko vzr na bei ganMkuu hizi
GSDA
Vitron
Solarmax
Octa
BlackArk
Octa 32" 230,000/= smart 32" ni 260k ni nzuri Sana280k ndo budget yangu,vipi Octa iko vzr na bei gan
Octa nzuri pia mpaka India zipo280k ndo budget yangu,vipi Octa iko vzr na bei gan
Octa smart tv ukizunguka vizuri kwa kariakoo unapata kwa 220000Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china.
Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china?
Ushauri tafadhari
Chukua Hisense, kuna mtu amesema unaweza pata cheaper. Nenda Kariakoo.280k mkuu