Wanaweka watu wenye elimu mbalimbali?Angalieni ujinga wa tv Imani muda huu Yani hawa watu wanajificha nyuma ya dini ila agenda yao ni ovu. Mbona hawazungumzii mambo ya shehe mwaipopo?
Wanazungumzia nini?Angalieni ujinga wa tv Imani muda huu Yani hawa watu wanajificha nyuma ya dini ila agenda yao ni ovu. Mbona hawazungumzii mambo ya shehe mwaipopo?
Acha dawa ikuingie mkuuSometimes napenda kuwasikiliza hawa vilaza.
Acha tuyajue yanayoendelea kwa kobaz Wahafidhina, sio Wagalatia walokole tu😁Mda wa kuangalia hiyo TV ungeutumia kuangalia TV unayoipenda mambo yao waachie mwenyewe
Kwa nini TV ya dini inaongelea mambo ya chama fulani cha siasa tena kwa ubaguzi?!Eti chadema ifutwe hahahaha Yani hawa jamaa aisee....!
Acha basiii 😄😄Eti chadema ifutwe hahahaha Yani hawa jamaa aisee....!
Unajimu ukiwepo!Wanaweka watu wenye elimu mbalimbali?
Jana niliweka link wavulana wa hapa wakanichamba sana!Wakasema "si mwenzao ktika imani"Unajimu ukiwepo!
Ila haijawekwa link tujue walikuwa wanatetea nini?
Sifikiri kama mada ina mahusiano na walokoleAcha tuyajue yanayoendelea kwa kobaz Wahafidhina, sio Wagalatia walokole tu😁
Kama walokole wanasemwa vibaya ni sawa pia kuwasema kobaz wakifanya vibaya, tusifanye michezo ya mpe huyu mruke yule.Sifikiri kama mada ina mahusiano na walokole