Tv Imaan inakaribisha wachambuzi vilaza na unafanya uislamu udharauliwe

Tv Imaan inakaribisha wachambuzi vilaza na unafanya uislamu udharauliwe

Kama walokole wanasemwa vibaya ni sawa pia kuwasema kobaza wakifanya vibaya, tusifanye michezo ya mpe huyu mruke yule.
Mada inazungumzia TV wewe unaleta hadithi za walokole, fungua uzi wa hivyo tuchangie
 
Uvivu tu kuwatafuta wasomi na kuwaomba appointment kwa ajili ya majadiliano na uchambuzi wa mada mbalimbali…, ila wasomi wa kiislam wapo wengi tu, nadhani changamoto ipo kwa uongozi na waandaaji wa vipindi.

Ufuatiliaji na ujuzi wa mambo ni hafifu.
 
Anasema kwasasa tusizungumzie haki maana sio muda wa kuzungumzia haki ! Kuzungumzia haki kwasasa ni sawa na kusomea kuran chooni.
😂😂😂 Ila hawa jamaa!

Kwa hiyo haya maneno walikuwa wanazungumza wachambuzi wa kawaida wa siasa au ni viongozi ktk deen?
 
😂😂😂 Ila hawa jamaa!

Kwa hiyo haya maneno walikuwa wanazungumza wachambuzi wa kawaida wa siasa au ni viongozi ktk deen?
Msomi wao waliemualika tena n8 Dr Sasa sijui ni doctor by PhD au by professional?
 
Kwa yanayoendelea katika hii dunia, imenilazimu nisiwe mfuasi wa dini yoyote.Dini zote nimefuatilia ni ubatili mtupu.Mifumo yao ipo kusaidia kumtawala binadamu.

Binadamu sio wa kumfata kabisa.Bora nijiamulie mwenyewe mema ni yapi na mabaya ni yapi,period!!

NB; PEPONI NI HAPAHAPA DUNIA,NA MOTONI NI HAPAHAPA DUNIANI.KULA MAISHA PUNGUZA WASIWASI KILA MTU ATAKUFA SIKU MOYA.TUSITISHANE SANA😀😀
 
Kuna tv moja ya kikobazi inaitwa mahaasin, hivi tv sijaona wakiweka mada za kikuda kama tv imaan. Tv imaan ni ya hovyo sana, ni tv ya kichochezi na ni tv ya kibaguzi, ubaguzi wa kidini na wa kisiasa
 
Angalieni ujinga wa tv Imani muda huu Yani hawa watu wanajificha nyuma ya dini ila agenda yao ni ovu. Mbona hawazungumzii mambo ya Sheikh Mwaipopo?
Wanazungumzia nini? Nafikiri hawachanganyi dini na siasa.
 
Back
Top Bottom