Mada inazungumzia TV wewe unaleta hadithi za walokole, fungua uzi wa hivyo tuchangieKama walokole wanasemwa vibaya ni sawa pia kuwasema kobaza wakifanya vibaya, tusifanye michezo ya mpe huyu mruke yule.
Mada inazungumzia kobaz kwenye TV imaaan takbir.Mada inazungumzia TV wewe unaleta hadithi za walokole, fungua uzi wa hivyo tuchangie
Siijui TV imamu , ila bado sijaona kama la walokole lina umuhimu hapaMada inazungumzia kobaz kwenye TV imaaan takbir.
๐๐๐ Ila hawa jamaa!Anasema kwasasa tusizungumzie haki maana sio muda wa kuzungumzia haki ! Kuzungumzia haki kwasasa ni sawa na kusomea kuran chooni.
Wanazungumzia nini? Nafikiri hawachanganyi dini na siasa.Angalieni ujinga wa tv Imani muda huu Yani hawa watu wanajificha nyuma ya dini ila agenda yao ni ovu. Mbona hawazungumzii mambo ya Sheikh Mwaipopo?