TV ipi yenye ubora kati ya TV hizi za kichina

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
 
Kwa matumizi gani ya ziada anahitaji kutumia?
 
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
Nina Alitop mwaka wa pili huu, haijazingua kabisa. Niliuziwa na Wachina wa Kariakoo (Dar Shopping Online). Nilipewa waranti
 
Ulichukua inch ngapi na duka lao linaitwaje
 
Nina inch 32. Duka ni online linaitwa Dar Shopping Online (0659777764). Hawa unawatumia jina lako kwanza, wanaandaa risiti na warranty. Unawalipa wakifikisha mzigo kwako, sio kabla. Hawana ubabaishaji.
By the way kuna mwana JF humu yupo Kariakoo anauza TV na ana uzi wake kabisa mrefu tu na reference za wateja. Mtafute
 
Nitawatafuta hao shopping online na huyo mwamba wa jf anaitwaje
 
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
Hizo siyo TV bali screen.
Tv mfano wake ni Azam TV, TBC, ITV, Star TV, nk,nk
Kenge wewe.
 
Back
Top Bottom