Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Hisense kanunue dukani kwao Wana ofisi pale kariakooSasa nichukue ipi boss maana hisense copy zimejaa kkoo kuna mwanangu mmoja kanunua smart 700k sasa hivi analia tv hata mwaka haijamaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisense kanunue dukani kwao Wana ofisi pale kariakooSasa nichukue ipi boss maana hisense copy zimejaa kkoo kuna mwanangu mmoja kanunua smart 700k sasa hivi analia tv hata mwaka haijamaliza
Kanunue Azam TV au Arise and Shine uyanywe maji ya Mwamposa.Nitafutie tangazo ambalo muuzaji kaandika anauza screen tv mbwa wewe
Hisense bora friji au washing machine. Tv ni kawaida, labda ile frameless design tu.Sasa nichukue ipi boss maana hisense copy zimejaa kkoo kuna mwanangu mmoja kanunua smart 700k sasa hivi analia tv hata mwaka haijamaliza
[emoji16][emoji16][emoji16]Utakuja kuuziwa kioo tupu cha mbele ya TV nguruwe wewe
Nitafutie tangazo ambalo muuzaji kaandika anauza screen tv mbwa wewe
Sidhani kama kuna kifaa chochote cha electronic feki cha Huawei.Hisense. Tcl. Skyworth, Envol,Haier,Huawei,
SOLARMAX nzuri sana.Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa