monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Matumizi ya nyumbani mkuuKwa matumizi gani ya ziada anahitaji kutumia?
Nina Alitop mwaka wa pili huu, haijazingua kabisa. Niliuziwa na Wachina wa Kariakoo (Dar Shopping Online). Nilipewa warantiNina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
Sasa nichukue ipi boss maana hisense copy zimejaa kkoo kuna mwanangu mmoja kanunua smart 700k sasa hivi analia tv hata mwaka haijamalizaSio tusi, ila kwa hizo, fumba macho okota yoyote tuu..
Ina unafuu tofauti na hizo nyingine mkuu?Alitop
Ulichukua inch ngapi na duka lao linaitwajeNina Alitop mwaka wa pili huu, haijazingua kabisa. Niliuziwa na Wachina wa Kariakoo (Dar Shopping Online). Nilipewa waranti
Walimuuzia Hisense ya magumashi?Sasa nichukue ipi boss maana hisense copy zimejaa kkoo kuna mwanangu mmoja kanunua smart 700k sasa hivi analia tv hata mwaka haijamaliza
Nina inch 32. Duka ni online linaitwa Dar Shopping Online (0659777764). Hawa unawatumia jina lako kwanza, wanaandaa risiti na warranty. Unawalipa wakifikisha mzigo kwako, sio kabla. Hawana ubabaishaji.Ulichukua inch ngapi na duka lao linaitwaje
Nitawatafuta hao shopping online na huyo mwamba wa jf anaitwajeNina inch 32. Duka ni online linaitwa Dar Shopping Online (0659777764). Hawa unawatumia jina lako kwanza, wanaandaa risiti na warranty. Unawalipa wakifikisha mzigo kwako, sio kabla. Hawana ubabaishaji.
By the way kuna mwana JF humu yupo Kariakoo anauza TV na ana uzi wake kabisa mrefu tu na reference za wateja. Mtafute
Hisense hawana copy, hizo hizo products zao ndo zilivyo, kama upo kwenye industry ya electronics utaelewa Hisense hana tofauti na kina alitop ila yeye ameweza kujibrand vizuriWalimuuzia Hisense ya magumashi?
TrueHisense hawana copy, hizo hizo products zao ndo zilivyo, kama upo kwenye industry ya electronics utaelewa Hisense hana tofauti na kina alitop ila yeye ameweza kujibrand vizuri
FactHisense hawana copy, hizo hizo products zao ndo zilivyo, kama upo kwenye industry ya electronics utaelewa Hisense hana tofauti na kina alitop ila yeye ameweza kujibrand vizuri
Hizo siyo TV bali screen.Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
Nitafutie tangazo ambalo muuzaji kaandika anauza screen tv mbwa weweHizo siyo TV bali screen.
Tv mfano wake ni Azam TV, TBC, ITV, Star TV, nk,nk
Kenge wewe.
Utakuja kuuziwa kioo tupu cha mbele ya TV nguruwe weweHizo siyo TV bali screen.
Tv mfano wake ni Azam TV, TBC, ITV, Star TV, nk,nk
Kenge wewe.
Ule uzi naona ma admin wame delete. Muuzajianaitwa Abdulwahid . Muone inboxNitawatafuta hao shopping online na huyo mwamba wa jf anaitwaje