TV ipi yenye ubora kati ya TV hizi za kichina

Sasa nichukue ipi boss maana hisense copy zimejaa kkoo kuna mwanangu mmoja kanunua smart 700k sasa hivi analia tv hata mwaka haijamaliza
Hisense bora friji au washing machine. Tv ni kawaida, labda ile frameless design tu.
 
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
SOLARMAX nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…