MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Ubungo kids wanazonyingi mno but try to download YouTube and muwekee kwenye flash or dvd kwa upendacho mwanao aangalie/kuawakuu naombeni tuendelee kupeana idea za video nyingine za kuwawekea watoto nje ya katuni pamoja na hizo games.
Wengine tupo mikoani, tuelezane sasa hao ubungo kids wanaweka video kama zipi ili na sisi wa mikoani tuzidownloadUbungo kids wanazonyingi mno but try to download YouTube and muwekee kwenye flash or dvd kwa upendacho mwanao aangalie/kua
Hujaona cha maana kwa sababu wewe ni mtu mzima tayari.Sijaona kitu cha maana hivyo vyote mlovyo suggest kiqawekea hao watoto
After all sisi utoto wetu tumeangalia sana hizo katuni na ndio tulizozipenda na sasa tumekuwa wakubwa tumeathirika na nini
Skills kuna vitu vya ku initiate sio eti kufung tai, sijui nini ni bora kumjengea mtoto passion ya maana yenye future inayoeleweka.Hujaona cha maana kwa sababu wewe ni mtu mzima tayari.
watoto wanaweza kupata burudani na kuongeza skilss kwa kujifunza mambo mapya kwenye tv
Hata kufunga tai ni skill tena unajifunza ndani ya dakika chache tu hata kama huelewi lugha,Skills kuna vitu vya ku initiate sio eti kufung tai, sijui nini ni bora kumjengea mtoto passion ya maana yenye future inayoeleweka.
Ningeelewa ningeona munawekea mtoto Video kama za Computer Applications, Child Innovation Clubs nk
Then unafungua kampuni ya kufunga taiHata kufunga tai ni skill tena unajifunza ndani ya dakika chache tu hata kama huelewi lugha,
Mkuu mimi sijakqambia mtoto kujifunza Computer wala skills zozote (hapa ndipo munafeli), usijaribu kumfunza mtoto Skills zote atasahau akija kukua na kupata anachopenda, mtoto MJENGEE PASSION YA KITU.Hayo mambo ya computer applications ni fani wanazosomea watu kwenye hubs /colleges / mentors sio vitu vya kujifunza kwa dakika tu, pia lazima uelewe lugha huku, nina uhakika hata wewe ulieshauri nikikubonda maswali ya computer applications utakimbia humu,
Na Rafikiye Bwakira,😁
Hapa umenikumbusha nilipokua Mdogo kuna bro alikua amejaza maprogramu ya Muziki kwenye Kompyuta kipindi kile Kompyuta za Chogo (zilikua zinashika moto km Pasi ya umeme ikiwashwa ndani km hamna feni ni Joto tupu) akawa anapiga Muziki yaan anatengeneza mabiti Mimi nikawa simuelewi kabisa yaan yale makitu nilikua nayaona sijui km makitu gani Jamaa akajaribu kunielekeza wapi Mimi akili yangu nimeitune kwenye Super Mario na Diskette yangu mkononi sitaki kusikia habari za kutengeneza mabiti sijui kitu gani, basi bro akimaliza kutengeneza mabiti yake ya uongo na ukweli ananiachia Kompyuta chomeka Diskette yangu cheza gemu ya Super Mario sitaki ujinga, sasa nimekua ndio nakuja kujua kumbe yale makitu ya Muziki ndio haya wanayotengeneza Muziki wakina Zombie S2KIZZYKUJENGA PASSION YA KITU: kama chini analyze vitu vyenye future ya maana then fanya hivyo vitu kumuingia mtoto wako kwenye ubongo taratibu, Sio kumwambia Dogo jifunze Coding video hizi NOOH wala iaiwe lengo, lengo iwe kumjengea PASSION na Computer kwanza.
🤣🤣🤣Hapa umenikumbusha nilipokua Mdogo kuna bro alikua amejaza maprogramu ya Muziki kwenye Kompyuta kipindi kile Kompyuta za Chogo (zilikua zinashika moto km Pasi ya umeme ikiwashwa ndani km hamna feni ni Joto tupu) akawa anapiga Muziki yaan anatengeneza mabiti Mimi nikawa simuelewi kabisa yaan yale makitu nilikua nayaona sijui km makitu gani Jamaa akajaribu kunielekeza wapi Mimi akili yangu nimeitune kwenye Super Mario na Diskette yangu mkononi sitaki kusikia habari za kutengeneza mabiti sijui kitu gani, basi bro akimaliza kutengeneza mabiti yake ya uongo na ukweli ananiachia Kompyuta chomeka Diskette yangu cheza gemu ya Super Mario sitaki ujinga, sasa nimekua ndio nakuja kujua kumbe yale makitu ya Muziki ndio haya wanayotengeneza Muziki wakina Zombie S2KIZZY
Shida ya wavaa tie ni nini,rafiki?hivi kuna ofs wanavaaga tai.....!
ukona ofsn kwako unavaa tai, jua kunatatizo mahala!
Tv inaweza kutoka elimu Kwa mwanao Kwa asilimia moja tu lakini asilimia zilizobaki ni uharibifu wa kutosha Kwa watoto wetu.Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)
Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.
Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa rahisi hata kama lugha ni shida
1. Jinsi ya kufunga tai
(How to tie a tie)
2. Jinsi ya kukunja nguo
(How to fold clothes)
3. kutengeneza toy kwa makaratasi, makopo, udongo mfinyanzi
(how to make paper toys with paper / bottles / clay soil)
4. Jinsi ya kupiga danadana
(how to juggle a ball)
Wengine tupo mikoani, tuelezane sasa hao ubungo kids wanaweka video kama zipi ili na sisi wa mikoani tuzidownload
Huyo anaangalia ajira za Su na ST tu. Umempa mfano mzuri wa mashirika manono na aagalie CD (Diplomatic Corps) na DFP (Donner Funded Project). Ernest and young nk achilia mbali Attorney chambers, tai ni lazima hata malipo yao yana reflect umuhimu huo.Watoto wanaenda ofisini au shuleni ?
anyway ofisi nzito kama TRA, IKULU, BOT, n.k. suala la tai ni muhimu