Tv sio kwajili ya katuni pekee, Naombeni tupeane mawazo ya video za kuwawekea watoto waweze kujifunza mambo mengine

wakuu naombeni tuendelee kupeana idea za video nyingine za kuwawekea watoto nje ya katuni pamoja na hizo games.
Ubungo kids wanazonyingi mno but try to download YouTube and muwekee kwenye flash or dvd kwa upendacho mwanao aangalie/kua
 
Wengine tupo mikoani, tuelezane sasa hao ubungo kids wanaweka video kama zipi ili na sisi wa mikoani tuzidownload
 
Sijaona kitu cha maana hivyo vyote mlovyo suggest kiqawekea hao watoto

After all sisi utoto wetu tumeangalia sana hizo katuni na ndio tulizozipenda na sasa tumekuwa wakubwa tumeathirika na nini
 
Hujaona cha maana kwa sababu wewe ni mtu mzima tayari.

watoto wanaweza kupata burudani na kuongeza skills kwa kujifunza mambo mapya kwenye tv, mfano kufunga tai tu nakumbuka shuleni ni wachache sana tulikuwa tunaweza
 
Hujaona cha maana kwa sababu wewe ni mtu mzima tayari.

watoto wanaweza kupata burudani na kuongeza skilss kwa kujifunza mambo mapya kwenye tv
Skills kuna vitu vya ku initiate sio eti kufung tai, sijui nini ni bora kumjengea mtoto passion ya maana yenye future inayoeleweka.

Ningeelewa ningeona munawekea mtoto Video kama za Computer Applications, Child Innovation Clubs nk
 
Hata kufunga tai ni skill tena unajifunza ndani ya dakika chache tu hata kama huelewi lugha,

Hayo mambo ya computer applications ni fani wanazosomea watu kwenye hubs /colleges / mentors sio vitu vya kujifunza kwa dakika tu, pia lazima uelewe lugha huku, nina uhakika hata wewe ulieshauri nikikubonda maswali ya computer applications utakimbia humu,
 
Then unafungua kampuni ya kufunga tai
Hayo mambo ya computer applications ni fani wanazosomea watu kwenye hubs /colleges / mentors sio vitu vya kujifunza kwa dakika tu, pia lazima uelewe lugha huku, nina uhakika hata wewe ulieshauri nikikubonda maswali ya computer applications utakimbia humu,
Mkuu mimi sijakqambia mtoto kujifunza Computer wala skills zozote (hapa ndipo munafeli), usijaribu kumfunza mtoto Skills zote atasahau akija kukua na kupata anachopenda, mtoto MJENGEE PASSION YA KITU.

KUJENGA PASSION YA KITU: kama chini analyze vitu vyenye future ya maana then fanya hivyo vitu kumuingia mtoto wako kwenye ubongo taratibu, Sio kumwambia Dogo jifunze Coding video hizi NOOH wala iaiwe lengo, lengo iwe kumjengea PASSION na Computer kwanza.

Ndio nimekwambia muwekee vipindi kama vya Computer Applications just watu wanatumia tu Computer randomly randomly, Vipindi vya watoto vy innovations kwenye Hubs, unaweza mnunulia na Laptop yake.....Lengo ni kujenga PASSION suala la kujifinza litakuja taratibu kwake na atakuwa na passion ya kujifunza mwenyewe na Once ataanza jifunza ni maisha yote kwasababu ni passion yake tena.

Bottom Line
Usimfunze Skill mtoto, hizo skills zote at zisahau tu na utakuwa umemfosi kuzijua suo matakwa yake mtengenezee PASSION na yeye mwenyewe atajifunza Skills kwa matakwa yake na hatotupa hizo skills maisha yote
 
KUJENGA PASSION YA KITU: kama chini analyze vitu vyenye future ya maana then fanya hivyo vitu kumuingia mtoto wako kwenye ubongo taratibu, Sio kumwambia Dogo jifunze Coding video hizi NOOH wala iaiwe lengo, lengo iwe kumjengea PASSION na Computer kwanza.
Hapa umenikumbusha nilipokua Mdogo kuna bro alikua amejaza maprogramu ya Muziki kwenye Kompyuta kipindi kile Kompyuta za Chogo (zilikua zinashika moto km Pasi ya umeme ikiwashwa ndani km hamna feni ni Joto tupu) akawa anapiga Muziki yaan anatengeneza mabiti Mimi nikawa simuelewi kabisa yaan yale makitu nilikua nayaona sijui km makitu gani Jamaa akajaribu kunielekeza wapi Mimi akili yangu nimeitune kwenye Super Mario na Diskette yangu mkononi sitaki kusikia habari za kutengeneza mabiti sijui kitu gani, basi bro akimaliza kutengeneza mabiti yake ya uongo na ukweli ananiachia Kompyuta chomeka Diskette yangu cheza gemu ya Super Mario sitaki ujinga, sasa nimekua ndio nakuja kujua kumbe yale makitu ya Muziki ndio haya wanayotengeneza Muziki wakina Zombie S2KIZZY
 
🤣🤣🤣
 
Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)

Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.

Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa rahisi hata kama lugha ni shida

1. Jinsi ya kufunga tai
(How to tie a tie)

2. Jinsi ya kukunja nguo
(How to fold clothes)

3. kutengeneza toy kwa makaratasi, makopo, udongo mfinyanzi
(how to make paper toys with paper / bottles / clay soil)

4. Jinsi ya kupiga danadana
(how to juggle a ball)
Tv inaweza kutoka elimu Kwa mwanao Kwa asilimia moja tu lakini asilimia zilizobaki ni uharibifu wa kutosha Kwa watoto wetu.
 
Watoto tuwape na kuwafanyosha kazi za mikono kama kulima bustani. TV zinawaharibu na kuwafanya wasiendeleze vipaji vyao
 
Wengine tupo mikoani, tuelezane sasa hao ubungo kids wanaweka video kama zipi ili na sisi wa mikoani tuzidownload
Angalia hio link otherwise contact them
 
Watoto wanaenda ofisini au shuleni ?

anyway ofisi nzito kama TRA, IKULU, BOT, n.k. suala la tai ni muhimu
Huyo anaangalia ajira za Su na ST tu. Umempa mfano mzuri wa mashirika manono na aagalie CD (Diplomatic Corps) na DFP (Donner Funded Project). Ernest and young nk achilia mbali Attorney chambers, tai ni lazima hata malipo yao yana reflect umuhimu huo.
 
Back
Top Bottom